Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
washaanza kuchapana wakat uchaguzi ni 2022😃😃😃😃
Huu utaratibu wa kuhutubia juu ya magari wamemuiga Magufuli, viongozi wa kenya wanamfuatilia sana Magufuli hata huyu ruto hiyo slogan yake ya hustlers katoa kwa Magufuli anavyojiita yeye ni rais wa wanyonge na masikini.