The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,848
Tony mara alipogundua ichoboy ni muarabu alishangaa sana na toka hapo akaanza kumgwaya, cjui itakuaje akigundua kuna wazungu-watz wapo humu [emoji3][emoji3][emoji3]Wewe kilaza una ushamba wa ndege sijawahi ona, nimekunukuu kwenye comments kadhaa ukionesha ulimbukeni wako kwenye usafiri wa anga, unatia huruma na inaonesha una maisha mabovu sana.