Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

soma hilo bango vzr alaf uelewe 😂😂😂😂 design and build BRT facilities

hapo mutajenga vistation viwili as a facility but this will remain the same👇👇👇😂😂
View attachment 1587302
Ubaya ni kwamba exposure ndio hauna. Unajifanya unajua sana ila hakuna unachokijua
ADB_2016_CHN_DJ_DJD_0045_调整大小_Fotor.jpg
0307_bus-lane.jpg
 
Najua miradi yao yote waliohitaji sidhani kama itakamilika yote labda rais awe mjomba magu kwny ardhi ya kenya
hakuna kitu wanajenga inaitwa BRT ni ujanja ujanja wakudanganya wakenya 😂😂😂

naskia jamaa kaenda paris ku sign mkopo kwa ajili railway line from CBD to JKIA 😂😂😂 yani hawa jamaa wanachekesha sana
 
Niokote picha ndio nikufurahishe ama? That's Mombasa road ukishapita airport and Gateway Mall, on your way to Syokimau. Hii hapa ni picha nyingine nimeokota of the same section of road. Lia sasa [emoji23] [emoji23] View attachment 1587262
Budah nadhani utakuwa ujanielewa vizuri nilichokuwa na maanisha
 
Ubaya ni kwamba exposure ndio hauna. Unajifanya unajua sana ila hakuna unachokijua View attachment 1587313View attachment 1587315
utadanganya watoto lakini sio mm mtu mzima bro nyinyi hamujengi BRT bali munazidi kujikanyaga wenyewe tena facility zenyewe zimeandikwa CBD and kenyatta hospital😂😂😂 lakini ukweli utabakia kua BRT is a system wether u go east or west ndio maana baada ya kupaka lipstic pale thika mulikaa miaka miwili mukijikanyaga mufanye nn 😂😂😂😂
 
hakuna kitu wanajenga inaitwa BRT ni ujanja ujanja wakudanganya wakenya [emoji23][emoji23][emoji23]

naskia jamaa kaenda paris ku sign mkopo kwa ajili railway line from CBD to JKIA [emoji23][emoji23][emoji23] yani hawa jamaa wanachekesha sana
Muache azidi kuongeza deni hivi hawajui kuwa deni lao liko 60s% ya GDP yao
 
Budah nadhani utakuwa ujanielewa vizuri nilichokuwa na maanisha
Ni nini hapo sijaelewa? Did you write it in Hindu? Kwa hivyo wewe ndio unaelewa Nairobi kushinda mimi mwenyeji? Ama uliposema nilikokota picha ulimaanisha nini?
 
Ni nini hapo sijaelewa? Did you write it in Hindu? Kwa hivyo wewe ndio unaelewa Nairobi kushinda mimi mwenyeji? Ama uliposema nilikokota picha ulimaanisha nini?
Nilimaanisha umekosa picha za kuleta ndo nilichokuwa na maanisha
 
That section of Mombasa road between Gateway mall and Syokimau was designed in a very funny way. In short, upande wa kushoto wa barabara kuna lanes za to and fro, upande wa kulia pia ni vivyo hivyo. It's a bit complex and confusing at the same time. You have to make several turns in order to move from left side of the road to the right side

Poa mkuu kama ni kweli.
 
Project kubwa Dar kwa sasa ni tanzanite bridge,kimara-kibaha highway 8-12 lanes,SGR to be electrified, BRT II Phase, Morocco -mwenge road expansion 6lanes,DMDP (DAR METRO DEVELOPMENT PROJECTS (hawa wanajenga 200+km katika unplanned settlement mifereji nk), mbezi louis bus terminal,bucha la kisasa Vingunguti, ujenzi a masoko ya kisasa magomeni,kisutu
Umesahau miradi ya maji safi na salama mabomba yametandazwa mpk uswazi na kuna baadhi yameanza kutoa huduma ila sehemu zingine nadhani watasubiri mpk awamu ijayo japo mabomba yameshafukiwa.
 
Back
Top Bottom