Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Project kubwa Dar kwa sasa ni tanzanite bridge,kimara-kibaha highway 8-12 lanes,SGR to be electrified, BRT II Phase, Morocco -mwenge road expansion 6lanes,DMDP (DAR METRO DEVELOPMENT PROJECTS (hawa wanajenga 200+km katika unplanned settlement mifereji nk), mbezi louis bus terminal,bucha la kisasa Vingunguti, ujenzi a masoko ya kisasa magomeni,kisutu
 
Ifikie mahali serikali iweze kulipa watumishi mishahara mizuri kutoa elimu bila malipo hadi vyuo vikuu kushirikiana vyema na sekta binafsi kutengeneza ajira hapo ndio tutakua tumepata maendeleo yakweli
Ni kweli man...pia huduma ya afya etc
 
Mkuu hii picha km ndio rangi yake kweli basi mmetisha View attachment 1586460
Wewe unaona sio rangi yake? Zipo nyingi tu ambayo si rangi ya kweli 😂
EczuKVmWkAAdnjk.jpg
2446630_IMG_20200704_122624.jpg
2446629_IMG_20200704_122629.jpg
2446628_IMG_20200704_122636.jpg
2431560_EaiGQGnWAAcDj5R.jpeg
2427827_IMG_20200614_162724.jpg
 
Sasa ni awamu ya Nairobi
Under construction
1.Nairobi expressway (27km)& overpass (11km)..10-16lanes
2.western bypass (20km) 8lanes
3.Ngong road phase 2 (15km) 4 lanes
4.westlands to limuru superhighway (23km) 10 lanes
5.BRT phase 1 (50km)..contractors on site ready for the job
6.commuter railway..DMUs coming soon

Coming soon
1.overpasses at
*ngong road (two of them)
*valley road
*mbagathi road
*Enterprise road-CBD
2.Jkia-CBD railway line(Uhuru ako France Leo hii kwa hio deal yenye pia limuru-Nakuru-mau summit highway(2*2 lanes,178km) iko hapo)
3.BRT phase II
4.Dualing Eastern and Northern bypass
The problem is that, less than 30% of these will be implemented at very high cost but low quality.
 
One of the reasons why an elevated expressway was a necessity along Mombasa road. This is how messy it can get sometimes. Too many cars on the road!
2534791_IMG_20200930_111915.jpg
 
Hahahaha, hata wewe unakubaliana na huo ukweli, sema hupendi haya mambo yazungumzwe hadharani, serikali yenunashua vizuri jinsi ilivyotawaliwa na "Cartels".
Sasa cartels zinaingiliaje ujenzi wa barabara kwa mfano ambayo kandarasi nyingi siku hizi hupewa makampuni za kichina? Ama maana ya neno cartel ndio huelewi?
 
Back
Top Bottom