Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa Malazy wanaodhani kuwa Thika road pekee ndio ina magari mengi basi kuna barabara linaitwa Mombasa road. Hili jitu la barabara lina jam ya kufa mtu. Hii ndio maana tunajenga expressway hapa Mombasa road ili kupanua barabara hata zaidi. Expressway ni kama tu flyover lakini ni ndefu kushinda flyover. Hii picha ni ya Nairobi kwa wale watakaoshangaa kama ni picha ya Afrika.

View attachment 1587481
I posted this a few pages back wakaanza kusema eti nimeokota picha 😂 😂
 
Mzee baba hivi Kenya mnaendesha magari upande upi wa barabara. Samahani mimi sijawahi ata kuvuka mpaka wa Tanzania naomba tu kujua
Kenya steering wheel huwa upande wa kulia wa gari kwa hivyo huwa tunakeep left. Yaani tunaendeshea upande wa kushoto wa barabara.
 
Kwa Malazy wanaodhani kuwa Thika road pekee ndio ina magari mengi basi kuna barabara linaitwa Mombasa road. Hili jitu la barabara lina jam ya kufa mtu. Hii ndio maana tunajenga expressway hapa Mombasa road ili kupanua barabara hata zaidi. Expressway ni kama tu flyover lakini ni ndefu kushinda flyover. Hii picha ni ya Nairobi kwa wale watakaoshangaa kama ni picha ya Afrika.

View attachment 1587481
Hehehe tumefika hapa kweli? Kujisifu ujinga? Cc tunapambana kuondoa kero km hii watu wapo humu kusifu jam, Kenyans!!

K = Kichwa
E = Empty
N = Nationalists
Y = Yapping
A = All the time
N = Need for
S = Sympathy.
 
Ss nyomi km hilo lote la nn? What does it indicate? Roads insufficiency uh?
Traffic snarlups like that one are common things in bigger cities around the world. Not because such cities luck bigger roads but because there are just too many cars on the roads. You are talking of road insufficiency wakati Nairobi ilianza kujenga barabara za juu wakati nyinyi bado ilikuwa ni ndoto kwenu. This is without mentioning the various bypasses that are complete and functioning. Again, this is something that's still in the pipeline in Dar. Kama kuna kitu hamfai kuongelea ni sekta ya barabara between Nairobi and Dar
 
Hebu twende kwenye hyo sekta ya barabara tuone, mm naanza ww jibu twende taratibu na najua utapoishia, naanza na U/C na ww jibu U/C tumalizane af twende kwengine
tapatalk_1600962268323.jpeg
 
Kwa Malazy wanaodhani kuwa Thika road pekee ndio ina magari mengi basi kuna barabara linaitwa Mombasa road. Hili jitu la barabara lina jam ya kufa mtu. Hii ndio maana tunajenga expressway hapa Mombasa road ili kupanua barabara hata zaidi. Expressway ni kama tu flyover lakini ni ndefu kushinda flyover. Hii picha ni ya Nairobi kwa wale watakaoshangaa kama ni picha ya Afrika.

View attachment 1587481
Sasa kwanini foleni isiwe kubwa kwenye kajiji finyu kama Nairobi? Nairobi is two feet big na ninyi mnavyoishi kwenye cages kwa wingi sehemu ndio the situation being even more difficult and tense, sehemu ambapo watu wa Dar wanaishi 10, Nairobi wanaishi 300 sasa unategemea nini hapo?

Yaani foleni inaanzia getini hata kabla ya kuingia barabarani 😅😅😅
 
I posted this a few pages back wakaanza kusema eti nimeokota picha 😂 😂
Hahaha. Ndio nimeshawaambia wasianze kusema hii sio Afrika. Najua hawataamini Kenya tuna magari mengi hivyo. Mentality yao ni ati Kenya iko nyuma yao. Hawataki kukubali ati Kenya tumewashinda kwa karibu kila kitu.
 
anafkiri BRT is just like eating githeri alaf kuharisha yani simple like that😂😂😂
anadanganya watu humu wanajenga BRT
Wewe umewahi hata kula githeri ama unaropokwa tu kwa kitu usichokifahamu?
 
ni mim tu sifatilii kampeni, ila siku ya uchaguzi tunaenda kupiga kura? kuna watu wanamakelele na uongo uongo mwingi naenda kuwastaafisha kisiasa!
Ni kuwafutilia mbali mkuu....tupige kura za maendeleo na wala sio ushabiki
 
Back
Top Bottom