Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

One of the reasons why an elevated expressway was a necessity along Mombasa road. This is how messy it can get sometimes. Too many cars on the road! View attachment 1587210
Tatizo ni kwamba mnakosa barabara ndogo ndogo za kutokea mitaani mfano cc huku kwetu wamejitahidi sana kujenga barabara za mitaani unakuta mtu anatoka town anapita barabara za mitaani ambazo nazo ni lami anatokea mbele saafii.
 
Nishaitumia hiyo route,full abiria,itakua mkakati tu kq kujiongezea abiria kama walivyosabotage kwa british air na lufthansa,wale wajinga walitaka hadi swiss air klm ziishie nairobi
Hakuna shirika lolote la ndege duniani linaloamua kuliachia route shirika lingine kama hiyo route ni profitable, never on Earth.
 
Tatizo ni kwamba mnakosa barabara ndogo ndogo za kutokea mitaani mfano cc huku kwetu wamejitahidi sana kujenga barabara za mitaani unakuta mtu anatoka town anapita barabara za mitaani ambazo nazo ni lami anatokea mbele saafii.
Umewahi kuja Nairobi? Ama ni kuongea tu?
 
Kwa Malazy wanaodhani kuwa Thika road pekee ndio ina magari mengi basi kuna barabara linaitwa Mombasa road. Hili jitu la barabara lina jam ya kufa mtu. Hii ndio maana tunajenga expressway hapa Mombasa road ili kupanua barabara hata zaidi. Expressway ni kama tu flyover lakini ni ndefu kushinda flyover. Hii picha ni ya Nairobi kwa wale watakaoshangaa kama ni picha ya Afrika.

IMG_20200930_111915.jpg
 
View attachment 1587481
so ww kwako jam ni kitu cha kusifia kabisa au?? hvi 5m people in a city area of 696km sq itakosa foleni kweli???? nairobi ni ndogo sana na imejikusanya sana foleni haitaisha mark my words

sasa ikiwa from CBD to westland 3km from CBD to upper hill 3.5km hvi hapo bado unamtafuta mchawi kweli??😂😂😂 be serious tony
 
Back
Top Bottom