Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania ni wajinga. Nimepost picha za Nairobi lakini kwa sababu wana roho mbaya na wivu wanajifanya hawajaziona picha. Wajinga sana hawa watu. Kitu kama ni kizuri cha Kenya wananyamaza na kujifanya hawajaiona. Hata sitadebate tena kwenye uzi huu. Nimeelewa kwa nini Wakenya wengine wameipuuza uzi huu. Hapa hata Mkenya akipost jambo lolote nzuri la Kenya maumbwa yatapuuza tu. Adios. Hamutaniona kwenye uzi huu tena. Wivu na utoto sipendi. Eti mtu anatazama picha hizo zote kisha ananyamaza eti kwa sababu ni ya Kenya? Mimi picha ikiwa nzuri ya Tanzania huwa napongeza ila sipendi debate za aina hii ambayo unafiki, wivu na majungu ndio imewekwa mbele. Kila Mtanzania anajaribu kupuuza mazuri ya Kenya kila kitu ni kibaya. Yaani hakuna jambo lolote nzuri linalofanyika Kenya. Adios
Povu
 
Aiseh
Hyo loading ni bomb moja hatari
1.Tanzanite Bridge U/C
2.BRT Phase 2 U/C
3.Morroco -Mwenge 6-8 lanes U/C
4.Kimara- Kibaha 8-10lanes U/C
5.SGR Bridge U/C
6.Gerezani Flyover U/c
7. Dar Port Expansion U/C
8.

Coming soon Next Year
1.BRT Phase 3 and More likely Phase 4
2. Msimbazi River Development Project ..I hope watanyanyua na jangwani lets see
3 .Changombe Flyover i think washaanza kujenga
4.Morroco Flyover on planning
5.Kamata Flyover on planning
6.Kigamboni Football Pitchs (Cash and Contract already)
7.Indoor Arena hii iko on plan
8.Kawe-Morroco road expansion to 2*2
 
changomber flyover u/C
uhasibu flyover U/C
 
Our farmers did not have access to international Markets

We have enough land to support tea farming

With this auction we can bring in Malawians producers too..

It's not about just being big.. it's about us supporting our farmers.. we will do cashew nuts, ground nuts, rice, maize, bananas, pinnaples, avocados, all kinds of veggies...

We are not competing with you guys .. we are simply looking out for our own. #Ujamaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
All the best 😁😁😁😁
 
Mkuu hii picha km ndio rangi yake kweli basi mmetisha
tapatalk_1601530082855.jpeg
 
Watanzania ni wajinga. Nimepost picha za Nairobi lakini kwa sababu wana roho mbaya na wivu wanajifanya hawajaziona picha. Wajinga sana hawa watu. Kitu kama ni kizuri cha Kenya wananyamaza na kujifanya hawajaiona. Hata sitadebate tena kwenye uzi huu. Nimeelewa kwa nini Wakenya wengine wameipuuza uzi huu. Hapa hata Mkenya akipost jambo lolote nzuri la Kenya maumbwa yatapuuza tu. Adios. Hamutaniona kwenye uzi huu tena. Wivu na utoto sipendi. Eti mtu anatazama picha hizo zote kisha ananyamaza eti kwa sababu ni ya Kenya? Mimi picha ikiwa nzuri ya Tanzania huwa napongeza ila sipendi debate za aina hii ambayo unafiki, wivu na majungu ndio imewekwa mbele. Kila Mtanzania anajaribu kupuuza mazuri ya Kenya kila kitu ni kibaya. Yaani hakuna jambo lolote nzuri linalofanyika Kenya. Adios
hata Yesu Arudi...sisi hatuna jema na Kunyaland...Majizi na wakabila.
 
Hivi ndio vitu vinavyo wakera na kuwachukiza wakenya walio wengi kama sio wote TZ kuwa middle income( imewaumiza sanaaa),BRT(phase 1/2,wakati wao kuanza tu shughuli pevu), Tanzanite cable bridge,Nyerere cable bridge(kwao ni ndoto ya alinacha) Airport terminal 3,modern and advanced interchanges and flyovers, Mbezi na Dodoma bus terminal,Electric trains ( hata hazija fika ila joto liko juu),kimara kibaha highway 8-12 lines 19.2 itaongezwa 75 km(chalinze) , Dodoma express way 110km,Bomba la mafuta toka Uganda,Bwawa la nyerere hydro power 2115,kupanuliwa kwa ports za Dar,Tanga na Mtwara,kurudishwa kwa shirika la air Tz,LNG (30 bill)smelter,DMDP.....KWA HAYA MACHACHE KATI YA ENDLESS LIST NADHANI TUNAPASWA KUFRAI ATLIST NASI TUNASOGEA ...KWAIYO MAJIRANI TUVUMILIANE (MWENZIO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI).
Hakika hakika..tumepiga hatua kubwa sana...Tuna kila sababu ya kujipongeza.
 
Congrats neighbor, good project, well done
Ahsante sana Jirani!

We are actually doing this for all of us in East Africa... Tunasogeza destination ya kuzamia...

Miaka kumi ijayo Vijana wenu wakitoroka mnakuja tu hapa kwa basi, mnawakuta .. sio mpaka waende Bondeni au Kwa Papa Trump ,,

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom