Tutazoea..na tutahiatji more and more tutaanza kuona ni kawaida..
Mfano Terminal 3 Dar na Zanzibar ni kali so tutaziozea kuona za kawaida..so Msalato itakuwa kali zaidi .
Benjamin Mkapa Stadium ni ya kawaida sa hizi na tushaiozea ..60k watu wanajaza..So Our New National Stadium in dodoma utakuwa Bab kubwa with more than 80k seats..
SGR ikianza ku run..tutataka standard iwe SGR NK hii inasaidia kuongeza Chachu ya maendeleo....
In Next 5 yrs we are about to witness A major upgrade Rocket like...kuliko tuliyoiona miaka mitano iliyopita....cause serikali inafanyaga kazi zaidi awamu ya pili kuliko ya kwanza..
My Hope is that..Deal La LNG litakamilika, Deal la 1bn usd fertilizer plant litaisha, Reli ya Mtwara Mbamba Bay ..itaanza..hii itasaidia kukuza uchumi wa southern Regions -Lindi,Mtwara ,Ruvuma na Moro..upande huu hujapata stimulus mda mrefu...
Nategemea pia Iron mining itaaza Liganga..hizo ndo game changer..zitazoboost kipato cha watu miaka ijayo
Mwenyezi Mungu Atujalie Afya na Amani miaka inayokuja na uchaguzi huu tupite vizuri..tu enjoy mafanikio