Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bank ambazo ndio zilikua zinawakopesha zililazimishwa kugeuza loans kuwa shares, sasa hivi hazikopeshi tena, kutokana na kutengeneza hasara kila mwaka, Hakuna mtu wala Bank yoyote iliyopo tayari kuikopesha KQ, ndio sababu wakataka kuirudisha serikalini ili ipangiwe bajeti na serikali, bahati mbaya serikali yenyewe haiwezi kulipa madeni yake, inadaiwa kuliko hiyo KQ, patamu hapo.
Hahaha!!kwhyo km madeni yamejeuzwa shares imekuaje tena mnaimba madeni
Jamani hivi nyinyi mnajielewa kweli, tatizo mnadandia ripoti ambazo hamjui vyanzo vyake
 
Tumia akili tunachosema ni kwamba KQ haina pesa ya kulipia hizo ndege 17 ambazo bado wanazilipia kwa sababu Bank zilizokua zinakopesha zimelazimishwa kuchukua shares na KQ inaendelea kupata hasara
 
anajitia uchizi wa lazima😂😂😂
 
Tumia akili tunachosema ni kwamba KQ haina pesa ya kulipia hizo ndege 17 ambazo bado wanazilipia kwa sababu Bank zilizokua zinakopesha zimelazimishwa kuchukua shares na KQ inaendelea kupata hasara
Hzo ndege 17 tulikopa wapi
Na hzo tatu tulilipa wapi
 
Tanzania tunasifika sana, watanzania tu natakiwa kutembea kifua mbele sababu ya kuishi kwenye nchi yenye lowest cost of living na watoto wakali

Nimekutana na waafrika kutoka mataifa tofauti na wengi wamekuwa wakisifia Tanzania kwenye mambo mengi lakini pamoja na haya.
 
Back
Top Bottom