JambaziSugu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 245
- 210
Hapo Pata picha una 28flr BRT HQ
Aisee pata-change sana mzee. Itakuwa hatari.
Hapo Pata picha una 28flr BRT HQ
hii nzuri,tumingia kwenye businessHata mbuyu ulianza kama mchichaView attachment 1586521
Hata huyo Kenyatta huwezi mshindanisha na JPM kamwe.....Kichuguu na MlimaLabda ashindanishwe na tapeli wao Kenyatta, na mpambano wao ukafanyikie huko huko kwao kunyaland.
Kazi zinaendelea kote koteprogress of mv mwanza hapa kazi tu
Tutazoea..na tutahiatji more and more tutaanza kuona ni kawaida..Nawaza hapa SGR itakamilika tutaizoea,interchange tutazizoea ,highway tutazizoea nk nk nn kutakua goose bumps uko mbeleni?
Tuombe uzimaTutazoea..na tutahiatji more and more tutaanza kuona ni kawaida..
Mfano Terminal 3 Dar na Zanzibar ni kali so tutaziozea kuona za kawaida..so Msalato itakuwa kali zaidi .
Benjamin Mkapa Stadium ni ya kawaida sa hizi na tushaiozea ..60k watu wanajaza..So Our New National Stadium in dodoma utakuwa Bab kubwa with more than 80k seats..
SGR ikianza ku run..tutataka standard iwe SGR NK hii inasaidia kuongeza Chachu ya maendeleo....
In Next 5 yrs we are about to witness A major upgrade Rocket like...kuliko tuliyoiona miaka mitano iliyopita....cause serikali inafanyaga kazi zaidi awamu ya pili kuliko ya kwanza..
My Hope is that..Deal La LNG litakamilika, Deal la 1bn usd fertilizer plant litaisha, Reli ya Mtwara Mbamba Bay ..itaanza..hii itasaidia kukuza uchumi wa southern Regions -Lindi,Mtwara ,Ruvuma na Moro..upande huu hujapata stimulus mda mrefu...
Nategemea pia Iron mining itaaza Liganga..hizo ndo game changer..zitazoboost kipato cha watu miaka ijayo
Mwenyezi Mungu Atujalie Afya na Amani miaka inayokuja na uchaguzi huu tupite vizuri..tu enjoy mafanikio
Wakenya hawapendi kusikia hz habari, wanasema eti cc ni wazee wa tuta tuta tuta... wakati mambo yanafanyika na tunazindua dailyTutazoea..na tutahiatji more and more tutaanza kuona ni kawaida..
Mfano Terminal 3 Dar na Zanzibar ni kali so tutaziozea kuona za kawaida..so Msalato itakuwa kali zaidi .
Benjamin Mkapa Stadium ni ya kawaida sa hizi na tushaiozea ..60k watu wanajaza..So Our New National Stadium in dodoma utakuwa Bab kubwa with more than 80k seats..
SGR ikianza ku run..tutataka standard iwe SGR NK hii inasaidia kuongeza Chachu ya maendeleo....
In Next 5 yrs we are about to witness A major upgrade Rocket like...kuliko tuliyoiona miaka mitano iliyopita....cause serikali inafanyaga kazi zaidi awamu ya pili kuliko ya kwanza..
My Hope is that..Deal La LNG litakamilika, Deal la 1bn usd fertilizer plant litaisha, Reli ya Mtwara Mbamba Bay ..itaanza..hii itasaidia kukuza uchumi wa southern Regions -Lindi,Mtwara ,Ruvuma na Moro..upande huu hujapata stimulus mda mrefu...
Nategemea pia Iron mining itaaza Liganga..hizo ndo game changer..zitazoboost kipato cha watu miaka ijayo
Mwenyezi Mungu Atujalie Afya na Amani miaka inayokuja na uchaguzi huu tupite vizuri..tu enjoy mafanikio

Na hapa kumbuka kwamba tunatumia akili 1% ss pata picha tukiongeza 1% nyingine c ndo tutaanza kupambana na Portugalprogress of mv mwanza hapa kazi tu

Na hapa kumbuka kwamba tunatumia akili 1% ss pata picha tukiongeza 1% nyingine c ndo tutaanza kupambana na Portugal![]()

8lanes Kibaha- Chalinze 75kmAiseh
Hyo loading ni bomb moja hatari
1.Tanzanite Bridge U/C
2.BRT Phase 2 U/C
3.Morroco -Mwenge 6-8 lanes U/C
4.Kimara- Kibaha 8-10lanes U/C
5.SGR Bridge U/C
6.Gerezani Flyover U/c
7. Dar Port Expansion U/C
8.
Coming soon Next Year
1.BRT Phase 3 and More likely Phase 4
2. Msimbazi River Development Project ..I hope watanyanyua na jangwani lets see
3 .Changombe Flyover i think washaanza kujenga
4.Morroco Flyover on planning
5.Kamata Flyover on planning
6.Kigamboni Football Pitchs (Cash and Contract already)
7.Indoor Arena hii iko on plan
8.Kawe-Morroco road expansion to 2*2
kikihboy ameshawapongeza. Mimi pia nimewapongeza. Kwani sisi sio Wakenya? Ninyi wenyewe ndio mliwafukuza Wakenya wengine katika uzi huu. Kwa hivyo mjilaumu wenyewe. Msilaumu Wakenya kwa kutelekeza uzi huu.Wakenya hawapendi kusikia hz habari, wanasema eti cc ni wazee wa tuta tuta tuta... wakati mambo yanafanyika na tunazindua daily![]()
Wakenya hawawezi kuwa na usawa hata siku mojaNashangaa watu wanajikomba kwao, kwanini tufake life? Me unafiki siwezi jamani 🙄🤣🤣🤣
Moto moja konki...Aiseh
Hyo loading ni bomb moja hatari
1.Tanzanite Bridge U/C
2.BRT Phase 2 U/C
3.Morroco -Mwenge 6-8 lanes U/C
4.Kimara- Kibaha 8-10lanes U/C
5.SGR Bridge U/C
6.Gerezani Flyover U/c
7. Dar Port Expansion U/C
8.
Coming soon Next Year
1.BRT Phase 3 and More likely Phase 4
2. Msimbazi River Development Project ..I hope watanyanyua na jangwani lets see
3 .Changombe Flyover i think washaanza kujenga
4.Morroco Flyover on planning
5.Kamata Flyover on planning
6.Kigamboni Football Pitchs (Cash and Contract already)
7.Indoor Arena hii iko on plan
8.Kawe-Morroco road expansion to 2*2

Sasa waliochelewa kuiona hii fursa acha washuhudie mutual benefit itakavyopendeza; kina klm, n.kHata mbuyu ulianza kama mchichaView attachment 1586521
Sasa hivi ATCL wangefanya makubaliano na etihad ili ATCL iende abu dhabi hata mara 3 kwa wiki,maana sasa hivi etihad aifiki dar,inaishia kunyaland hlf kq ndio inawaleta abiria wa darSasa waliochelewa kuiona hii fursa acha washuhudie mutual benefit itakavyopendeza; kina klm, n.k
Nlikua naimagine pembezoni mwa msimbazi basin wangeweka njia ya watembea kwa miguu na baiskeli tu iliNawaza hapa SGR itakamilika tutaizoea,interchange tutazizoea ,highway tutazizoea nk nk nn kutakua goose bumps uko mbeleni?