tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Wacha banaLeo kuanzia saa 5 asubuhi Ubungo Interchange will be full start working kwa ile part ya juu kuanza kutumika ....
What a news!!


Wacha banaLeo kuanzia saa 5 asubuhi Ubungo Interchange will be full start working kwa ile part ya juu kuanza kutumika ....
What a news!!


😂😂😂😂😂
Pori tu ndo limechukua 3/4 ya pictureMalazy, huwa munajipiga kifua tunanyamaza. Huwa mnaleta picha mbovu za Dar halafu mnailinganisha na Nairobi tunanyamaza. Kama bado kuna Mlazy anadhani kuwa Dar iko ligi ya Nairobi ainue mkono. Ndio hii Nairobi katika eneo la upperhill.
View attachment 1584813










Cha ajabu ni kwamba tukipost hii interchange nao wanapost ule uchafu wao wakisema eti ule uchafu nao ni 3levelUbungo flyover. Moto mwingine huooo
View attachment 1585640View attachment 1585641View attachment 1585642







Aisee Ubungo itakuwa moto wa petroli mazee, ngj iishe na lile jengo la UDART heheheheheeee hatokaa mtu humu wallahi.Ubungo flyover. Moto mwingine huooo
View attachment 1585640View attachment 1585641View attachment 1585642
Lkn nadhani hapa panahitaji machuma ili yawaprotect walevi la cvyo zitadondoka sn gari hapo.Ubungo flyover. Moto mwingine huooo
View attachment 1585640View attachment 1585641View attachment 1585642








Hii ni thika road Acha ushamba
Yaani hii uchungu yote ni ya niniIla kwakweli huu uzi ulichowafanya Wakenya hawana hata hamu mana wkt thread inaanza walidhani ni masihara na hata baadhi ya WaTz (wenye mirengo ya kisiasa) hawakutaka kuamini kama Tz iko mbele ya kenya but nowadays japo kimya kimya wanaamini hususan wanapoona kuna angle tunawabananisha Wakenya wanaishia kutoa execuses kibao
Hivi kwa mfano mTz au mkunya aanze kubishana na let say SA kwamba Tz au Kunya iko more developed than SA unadhani mzulu atafanyaje hapo zaidi ya kumuonesha mTzau mkunya mambo yaliyopo SA? Unadhani mTz au mkunya utatamba? Mana atakuonesha mambo ambayo kwenu hamna hata ukikukuruka vp utashindwa lkn mzulu hatoshindwa mana anavyo vingi vya kukushinda.
Ss hawa wakunya humu wanasusa eti kwasababu hatusifii vitu vyao au tunakaa kmy hatusemi kitu ndo mana wanaona bora wasusie uzi hv inaingia akilini hyo? Ww km unajiamini weka niweke ila ukiona pumzi imekata kausha mana ukianza kusema oohh hunisifii ss ntakusifiaje wkt ulicho nacho mm pia nnacho na pengine changu ni more advanced than urs?
Wakenya mmeshindwa hii battle na ngoja niwaambie ukweli wa mambo ni kwamba miaka 5 ijayo tutaanzisha battle na SA japo tutakuwa bado kimaendeleo kuliko wao but tutakuwa tunacho cha kutunishiana nao misuli cz nao pia wana sehemu nyingi tu za kuwapiga mfano ma slums ya kumwaga ambayo kwetu hamna na kuna sehemu zingine mfano treni za umeme, MRT, cable bridges, BRT, madege ya kisasa, modern flyovers and interchanges, modern commuter railways zitakuwepo hapa Tz so wkt nyie tunawaacha mkipambana na ufisadi na ukabila wenzenu tutakuwa tuna tunishiana misuli na nchi zinazoonekana ni Europe za Afrika, poleni sana Wakenya![]()


Simba akiamua kuto jishughulisha na kelele za fisi ndio wakenya waliamua....nilikuwa nawashangaa wakenya wenzangu wakilinganisha Kenya na LDC badala wakailinganishe na Africa kusini na Morocco.
Watanzania ni wajinga. Nimepost picha za Nairobi lakini kwa sababu wana roho mbaya na wivu wanajifanya hawajaziona picha. Wajinga sana hawa watu. Kitu kama ni kizuri cha Kenya wananyamaza na kujifanya hawajaiona. Hata sitadebate tena kwenye uzi huu. Nimeelewa kwa nini Wakenya wengine wameipuuza uzi huu. Hapa hata Mkenya akipost jambo lolote nzuri la Kenya maumbwa yatapuuza tu. Adios. Hamutaniona kwenye uzi huu tena. Wivu na utoto sipendi. Eti mtu anatazama picha hizo zote kisha ananyamaza eti kwa sababu ni ya Kenya? Mimi picha ikiwa nzuri ya Tanzania huwa napongeza ila sipendi debate za aina hii ambayo unafiki, wivu na majungu ndio imewekwa mbele. Kila Mtanzania anajaribu kupuuza mazuri ya Kenya kila kitu ni kibaya. Yaani hakuna jambo lolote nzuri linalofanyika Kenya. Adios


punguza stress,,,,,hivyo unavyopost tulishaviona na tukavipa credit zake loong time we unakuja kurudia rudia mambo unadhani kuna mtu anakazi ya kudifia kitu kimoja kila siku..