Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Kwa kenya akifa tajiri basi na biashara zake zinayumba na kufa....
hii ni tofauti sana na huku Tz
Kwa kenya akifa tajiri basi na biashara zake zinayumba na kufa....
Ngoja tuanzie hapa kulinganisha kenya na SA au Morocco [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani hii uchungu yote ni ya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba akiamua kuto jishughulisha na kelele za fisi ndio wakenya waliamua....nilikuwa nawashangaa wakenya wenzangu wakilinganisha Kenya na LDC badala wakailinganishe na Africa kusini na Morocco.
Yaani hii uchungu yote ni ya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba akiamua kuto jishughulisha na kelele za fisi ndio wakenya waliamua....nilikuwa nawashangaa wakenya wenzangu wakilinganisha Kenya na LDC badala wakailinganishe na Africa kusini na Morocco.
Cku hz mnapishania kulia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii ni thika road Acha ushamba
Dubwana hili nalikubali snaa...[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1585713
Zipo chache sn Afrika hii.Dubwana hili nalikubali snaa...[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1585713
Kabisa ....[emoji91][emoji91] hii kitu ni moto sanaZipo chache sn Afrika hii.
Kenya wanakidude flan kinaitwa pangani yaan wamemix na footbridge ili kinoge lakini wap chenga..huu mzigo umesimamaUbungo flyover. Moto mwingine huooo
View attachment 1585640View attachment 1585641View attachment 1585642
C ndo hiki wanakiita 3level auu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]Kenya wanakidude flan kinaitwa pangani yaan wamemix na footbridge ili kinoge lakini wap chenga..huu mzigo umesimama
Hii huwez compare na ubungo interchangeC ndo hiki wanakiita 3level auu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1585772
Kenya wababaishaji sn na waongo mnoo, wana mi flyover yao stone age eti wanataka kulinganisha na modern flyovers za Tz, yn flyover 1 ya Tz unapata mi flyover 10 ya kenya asa c ubabaishaji huo hebu angalia huu uchafu (hawapendiiii [emoji3][emoji3][emoji3])[emoji116][emoji116]Hii huwez compare na ubungo interchange
Iyo ni ilmradi tu haiko standard kiukweli,watasema inasave purpose that's what really matterKenya wababaishaji sn na waongo mnoo, wana mi flyover yao stone age eti wanataka kulinganisha na modern flyovers za Tz, yn flyover 1 ya Tz unapata mi flyover 10 ya kenya asa c ubabaishaji huo hebu angalia huu uchafu (hawapendiiii [emoji3][emoji3][emoji3])[emoji116][emoji116]View attachment 1585786
Tutaelewana tu[emoji122][emoji122][emoji122]Ukiona Tony254 na wenzake wana left,tusiwalaumu, hali Kama hii inawapa machungu.
Aya ndio masihara sasa....[emoji23][emoji1787][emoji1787]C ndo hiki wanakiita 3level auu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1585772
Kabla hujaniquote, niambie ni lini umepongeza kitu chochote kutoka Kenya. Wewe si ndio katibu wa ile kamati ya roho chafu??Watanzania wenzangu, tuweni wazalendo kwa nchi yetu ila mazuri yao pia tuyaone na tuyakubali kama kweli wamefanya kazi sio kila kitu chao tunakiponda, wakati vizuri vyao vipo pia vingi na wakenya mupunguze kutudharau sasa coz hizo zama zilishaisha, wote tuweni waungwana✌🏿✊🏿
Mfugale length 425MAngalia modern flyovers vile zinakaaView attachment 1585790View attachment 1585795