Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww tony ndiyo maana hata joto la jiwe alisema kdg una genes za kitanzania cz uko tofauti kdg na Wakenya wote wa humu Jf, ukweli ni kwamba Wakenya ndiyo wenye roho mby mno na wasiopenda maendeleo ya wenzao, kuna mkenya mwenzako anaitwa Nicxie yeye pia kdg analingana na ww kimtazamo ila aliharibiwa na Wakenya original kina Teargass na Magix Enga so naye kawa mjinga sana.
Kabla hujaniquote, niambie ni lini umepongeza kitu chochote kutoka Kenya. Wewe si ndio katibu wa ile kamati ya roho chafu??
 
The Giant.

02c8ffc6-3f44-45a3-a0a1-eeb6ed5086ba.jpg
 

Attachments

  • JamiiForums1223203710.jpg
    JamiiForums1223203710.jpg
    88.4 KB · Views: 5
  • IMG_20200918_220555.jpg
    IMG_20200918_220555.jpg
    74 KB · Views: 7
  • JamiiForums-1397685358.jpg
    JamiiForums-1397685358.jpg
    84.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200930-190414.jpg
    Screenshot_20200930-190414.jpg
    63.8 KB · Views: 7
Hao ni wana ccm huwa nawapotezea wanatetea ugali wao,waambie wakaanzishe hizo mada zao kwenye majukwa yanayohusisha watz wengi uone kama watathubutu kwa sababu wanajua watapewa za uso huku wanajitutumua maana sio wabongo wengi wanapenda jukwaa hili.Hata saizi hawawezi kukuambia kwamba kampeni za Magu na nyimbo zake za sgr,stiglaz,flaiova sijui bomba zimebuma hutowasikia ilaukweli nao wanaujua kwamba Magu hawezi pita wala hakubaliki but anategemea tume na polisi.
Kila sehemu watu wanalia maisha magumu na wanamlaumu kwa kukurupukia miradi isiyo na tija kwa watu kwa pupa
siyo mzima wewe anza kuhudhuria kliniki upo karibu kujifungua.
 
Back
Top Bottom