Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
๐๐๐๐
Makelele yanawapa mzuka Kama EPL๐๐๐
๐๐๐๐
Watakuja kupiga...ila i dont see it for now... Hata miaka 10 ijayo..its not economic feasible..its important kwa watu kusafiri...kwa haraka ..but sijui kama watafanya hivyo...Wapige SGR tu, wengine tunapenda sana adventure sema umbali wa safari ndio unatulet down haswa pale tunapotakiwa kuwahi, maswala ya kwenda kwa ndege yanachosha sana
diamond representing [emoji1241]
diamond representing [emoji1241]
Mkuu mimi kuna kitu huwa nakipinga sana kwamba eti train faida ni kwenye mizigo tu.Wapige SGR tu, wengine tunapenda sana adventure sema umbali wa safari ndio unatulet down haswa pale tunapotakiwa kuwahi, maswala ya kwenda kwa ndege yanachosha sana
Heheheheheeee tulishasema tutabaki pekee etu tu humu wakabisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tunawaelewa tukishawachapa huwa wanakimbilia kwenye vibanda vyao kibera. Tulivyoingia uchumi wa kati wakakimbia, bomba la mafuta limewakimbiza na mifano mingine mingi
Wametusumbua sn hawa mbuzi wacha tuuwe [emoji3][emoji3][emoji3]hahaha Tatizo mnapiga sana.. ...mnalenga kwenye ROHO. Lazima wapoteane tu
Yaani mkuu uko right kabisa, nakuunga mkono na miguuMkuu mimi kuna kitu huwa nakipinga sana kwamba eti train faida ni kwenye mizigo tu.
Wazo langu kama tunaweza jenga sgr kibao zijengwe nchi yetu kubwa sana, tena wazo langu ni kwamba miji yote mikubwa iweze kufikika kwa treni.
Mfano iwepo reli nyingine kutoka Mbeya ipite dodoma iende Arusha, hapa tunaifanya dodoma sehemu ya kubadilishia safari incase hamna za moja kwa moja.
London wana treni chini ya ardhi na juu.
Zile za chini ya ardhi ni gharama mno kuzijenga maana ni mwendo wa handaki mwanzo mwisho, pamoja na gharama kubwa za ujenzi hakuna treni ya mizigo inapita kule, wanasafirisha watu sababu wanajua umuhimu wa watu kusafiri kwa haraka.
Ingekuwa reli bila mizigo ya nchi jirani hailipi ๐ฌ๐ง uk wasingekuwa na mtandao mkubwa wa reli maana wao ni kisiwa kwa asilimia kubwa.
Tujenge reli kufacilitate uchumi wetu wa ndani, nchi za jirani tufanye kama ni an added advantage.
Mfano Rwanda kweli inaweza kuwa na mizigo mingi kushinda eg kanda ya ziwa?
Rwanda si ni kama kimkoa tu.
Nchi zilizoendelea zinajenga high speed railways kwa gharama kubwa kwa ajili ya watu sio mizigo, faida ya kumuwahisha mtu kufanya shughuli ya uzalishaji inaingia kwa njia mbalimbali.
Treni ni catalyst, hazihitaji kuwa na faida ya moja kwa moja.
Haya ni mawazo yangu tu msinipige mawe.
Wewe una wazimu? Kufananisha mizigo ya Rwanda na mkoa? Umeambiwa kuna plan ya SGR huko unapotaka lakini lazma priorities zielekezwe kwenye kulipo na prospects zaidi!Mkuu mimi kuna kitu huwa nakipinga sana kwamba eti train faida ni kwenye mizigo tu.
Wazo langu kama tunaweza jenga sgr kibao zijengwe nchi yetu kubwa sana, tena wazo langu ni kwamba miji yote mikubwa iweze kufikika kwa treni.
Mfano iwepo reli nyingine kutoka Mbeya ipite dodoma iende Arusha, hapa tunaifanya dodoma sehemu ya kubadilishia safari incase hamna za moja kwa moja.
London wana treni chini ya ardhi na juu.
Zile za chini ya ardhi ni gharama mno kuzijenga maana ni mwendo wa handaki mwanzo mwisho, pamoja na gharama kubwa za ujenzi hakuna treni ya mizigo inapita kule, wanasafirisha watu sababu wanajua umuhimu wa watu kusafiri kwa haraka.
Ingekuwa reli bila mizigo ya nchi jirani hailipi ๐ฌ๐ง uk wasingekuwa na mtandao mkubwa wa reli maana wao ni kisiwa kwa asilimia kubwa.
Tujenge reli kufacilitate uchumi wetu wa ndani, nchi za jirani tufanye kama ni an added advantage.
Mfano Rwanda kweli inaweza kuwa na mizigo mingi kushinda eg kanda ya ziwa?
Rwanda si ni kama kimkoa tu.
Nchi zilizoendelea zinajenga high speed railways kwa gharama kubwa kwa ajili ya watu sio mizigo, faida ya kumuwahisha mtu kufanya shughuli ya uzalishaji inaingia kwa njia mbalimbali.
Treni ni catalyst, hazihitaji kuwa na faida ya moja kwa moja.
Haya ni mawazo yangu tu msinipige mawe.
Wewe una wazimu? Kufananisha mizigo ya Rwanda na mkoa?
mbona mnalazimisha vitu havina faida? fedha ziko wapi kufanya mnayotaka kwa wakati mmoja? Hebu niambie why Tanga-Arusha-Mara SGR is so important in comparison to Rwanda-Isaka SGR or Mtwara-Mbamba Bay while we know what is to be served by Tanga-Arusha-Musoma SGR can be served by Dar-Mwanza n Tanga-Arusha MGR! Yaani tuache strategic projects kama za kuunganisha Uganda kupitia reli ya Isaka-Keza-Kigali kwa umbali mfupi tujenge njia mpya all the way toka Tanga mpaka Musoma!?point zingine zote hujaziona.. umeiona hio tu ..
point zingine zote hujaziona.. umeiona hio tu ..
Na hata hivyo ni sehemu pekee nimeweka alama ya kuuliza.point zingine zote hujaziona.. umeiona hio tu ..