Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbona mnalazimisha vitu havina faida? fedha ziko wapi kufanya mnayotaka kwa wakati mmoja? Hebu niambie why Tanga-Arusha-Mara SGR is so important in comparison to Rwanda-Isaka SGR or Mtwara-Mbamba Bay while we know what is to be served by Tanga-Arusha-Musoma SGR can be served by Dar-Mwanza n Tanga-Arusha MGR! Yaani tuache strategic projects kama za kuunganisha Uganda kupitia reli ya Isaka-Keza-Kigali kwa umbali mfupi tujenge njia mpya all the way toka Tanga mpaka Musoma!?

nipe visible economic facts!

19885_tn_africa-dikkm-railway-map_03.jpg

kwangu mimi ni bora kuinganisha Tanga port na reli toka Dodoma au Shinyanga kuliko hiyo project mnayolazimisha maana mizigo itapitia lake Victoria na kwenye maji distance trajectory haina limits!
Ikumbukwe kwamba sababu kubwa ya WB kukataa kutoa pesa ya kujenga SGR ya Tanzania ni kwasababu ya kuwepo kwa reli ya zamani, wao walisema ni bora kuiboresha reli ya zamani iwe ya kisasa na kuweka umeme kuliko kuwa na reli mbili zinazokwenda sehemu moja.

Hivi kweli kabisa kwa akili ya kawaida tujenge tena SGR parallel na hii iliyopo ya TANGA arusha, wakati hii iliyopo tukiweka umeme na kuiboresha kama tulivyofanya hii ya Central corridor na kununua train za kisasa za umeme inatosha?, hata huko Ulaya na Marekani pia wengi hawajaeneza mitandao ya SGR, kwa utajiri gani tuliona Tanzania wa kujenga mtandao wa reli hata katika njia ambazo tayari reli zipo?.

Tuacheni kuwa "over ambitious", SGR ijengwe kule ambako hakuna reli tunaanza upya, lakini kule ambako tayari kuna reli, tuboreshe na kuweka umeme na kununua trains za kisasa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Swizz Beats ajipangeee.. .. huyu jamaa wa Tandale ni shida when it comes to beautiful ladies. Mabaharia wamesema wanampatia bendera ili aiwakilishe nchi na chama lao vyema[emoji23][emoji23][emoji23]
ni noma sana platnumz ni balaa
 
mbona mnalazimisha vitu havina faida? fedha ziko wapi kufanya mnayotaka kwa wakati mmoja? Hebu niambie why Tanga-Arusha-Mara SGR is so important in comparison to Rwanda-Isaka SGR or Mtwara-Mbamba Bay while we know what is to be served by Tanga-Arusha-Musoma SGR can be served by Dar-Mwanza n Tanga-Arusha MGR! Yaani tuache strategic projects kama za kuunganisha Uganda kupitia reli ya Isaka-Keza-Kigali kwa umbali mfupi tujenge njia mpya all the way toka Tanga mpaka Musoma!?

nipe visible economic facts!

19885_tn_africa-dikkm-railway-map_03.jpg

kwangu mimi ni bora kuinganisha Tanga port na reli toka Dodoma au Shinyanga kuliko hiyo project mnayolazimisha maana mizigo itapitia lake Victoria na kwenye maji distance trajectory haina limits!
Geza Usipende kuona mawazo yako kama final ruhusu mawazo mengine hakuna kilicholazimishwa kujusu sgr ya musoma na kasome ilani ya ccm utaona wachana na miaka 10 unayowaza in next 5 years wanataka iwe imeanza kazi na mwaka jana kuna fununu trc wenyewe waliachia mtandaoni to spend one usd billion kwenye project ntakuletea link hapa its mean ni kitu kiko on track
Impact za uchumi wa sgr ya tanga to musoma ni kubwa kuliko ku revampe mgr ya sasa Kama hujui omba kueleweshwa
Usionge mambo sijui ya tumieni hiyo iliyopo hujui niko pande gan ya tz na nnafaidika na project gn ya gvt hata kama ni tasaf ila linapokuja swala la nchi angalia kwa upana kwani kureduce tu time to travel btn dar na arusha na musoma maana itaunganishwa na central line huo ndio uchumi wa kisasa
Tusipoteze muda kueleweshana muda ni jibu zuri
Ikumbukwe kwamba sababu kubwa ya WB kukataa kutoa pesa ya kujenga SGR ya Tanzania ni kwasababu ya kuwepo kwa reli ya zamani, wao walisema ni bora kuiboresha reli ya zamani iwe ya kisasa na kuweka umeme kuliko kuwa na reli mbili zinazokwenda sehemu moja.

Hivi kweli kabisa kwa akili ya kawaida tujenge tena SGR parallel na hii iliyopo ya TANGA arusha, wakati hii iliyopo tukiweka umeme na kuiboresha kama tulivyofanya hii ya Central corridor na kununua train za kisasa za umeme inatosha?, hata huko Ulaya na Marekani pia wengi hawajaeneza mitandao ya SGR, kwa utajiri gani tuliona Tanzania wa kujenga mtandao wa reli hata katika njia ambazo tayari reli zipo?.

Tuacheni kuwa "over ambitious", SGR ijengwe kule ambako hakuna reli tunaanza upya, lakini kule ambako tayari kuna reli, tuboreshe na kuweka umeme na kununua trains za kisasa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
i assure you in next 3 year Tanga arusha musoma sgr itakuwa in implemention stage mkuu
 
Geza Usipende kuona mawazo yako kama final ruhusu mawazo mengine hakuna kilicholazimishwa kujusu sgr ya musoma na kasome ilani ya ccm utaona wachana na miaka 10 unayowaza in next 5 years wanataka iwe imeanza kazi na mwaka jana kuna fununu trc wenyewe waliachia mtandaoni to spend one usd billion kwenye project ntakuletea link hapa its mean ni kitu kiko on track
Impact za uchumi wa sgr ya tanga to musoma ni kubwa kuliko ku revampe mgr ya sasa Kama hujui omba kueleweshwa
Usionge mambo sijui ya tumieni hiyo iliyopo hujui niko pande gan ya tz na nnafaidika na project gn ya gvt hata kama ni tasaf ila linapokuja swala la nchi angalia kwa upana kwani kureduce tu time to travel btn dar na arusha na musoma maana itaunganishwa na central line huo ndio uchumi wa kisasa
Tusipoteze muda kueleweshana muda ni jibu zurii assure you in next 3 year Tanga arusha musoma sgr itakuwa in implemention stage mkuu
umeifanyia Cost Benefit Analysis?
 
umeifanyia Cost Benefit Analysis?
Sio mm imefanywa na got uliza imefanyiwa Cost Benefit Analysis na Got sio nimefanyia ? Sio kitu personal usikieke personal hii n project ya Got na inajulikana na pesa imeshawekezwa nyingi kwenye feasibility na engineering design za mwanzo no consultant anatafutwa this year next financial year 2021/2022 ni fidia kwa maeneo itatengwa if go good baada ya hapo ni aliyeshinda ppp atafanya utekelezaji.
And kama hujui mradi wa mbamba bay sgr ulipata zaidi ya 10 company zilizokuwa commitment ya kujenga ilivoanza tu kunadiwa last year kwa njia ya ppp.
Ndio maana hata waziri mkuu kwenye mikutano ana asure ujenzi maana n ppp project inayonganganiwa.
Hiyo ya arusha nayo expect the same kwa sababu economic advtage ni nyingi as well na ujue kuna engaruka ash na mbolea minjingu huko mgr haipo na kuna pesa inanukia na nini kwani mbaya musoma na arusha ikiwa 3 hr huoni hiyo tu ni impact kwa muingiliano unaotokea hapa achana na kuwa mizigo mingi ya arusha inapita kenya pia bithaa arusha kama cement ni ghali kutokana na usafirishaji pia mtalii akitoka safaris mbugani anaweza kula treni fasta yuko beach dar nakaview kilimanjaro na meru on the way kwa bei affordable na classic sio watalii wote wanaweza panda ndege kwenda beach zanz wakitoka safari hii kitu ikiwepo ina impact nyingi tuuu....
 
Na miundombinu ya uhakika ikiwepo maeneo mbalimbali inasaidia wawekezaji kuwekeza na maeneo mengine.
Leo hii viwanda vingi vinajengwa pwani ni kwa sababu ya miundombinu.
Miundombinu huleta fursa.
 
Na ukiongelea sector ya viwanda nothern arusha inaiva sana unavopeleka miundombinu inawapa wawekezaji uhakika na kuongeza ushindani hususani price inayotokana na usafirishaji.
inatakiwa samaki atoke musoma afike hotelini arusha siku hiyo hiyo hii ndio smart inclusive economy hata kama uganda hatotumia impact za ndani zinatosha tu
 
Kwa maoni yangu Tanga, Arusha hadi Mara ibaki hii MGR ila waiboreshe kama walivyofanya ya Central Corridor, iwe Continues welded na wanunue trains za kisasa sana, labda wanaweza kuiwekea umeme. Sioni faida kwa route hiyo kuwa na reli mbili Parallel kwasaba sehemu kubwa ni matumizi ya ndani ya nchi, Uganda watahudumiwa vizuri tu na Central Corridor.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hakika,hakika.
 
Mgr inaishia arusha mjini fursa zipo mbele zaidi mpaka ufike musoma ndio utaona general impact
Kingine mgr iliyopo kuimaintain kwa ilipo sasa ni cost mno maana ni old gharama ni kubwa mno.
Mgr kusema ufanye revampe kama ya dsm isaka ni hela ambayo ungeongeza ungejenga new sgr na ukifanya revampe kwa mgr utajenga mgr mpya kutoka arusha to musoma ambayo more than 50% ya total length.
Haihitajiki mgr iliyopo inangolewa inajengwa sgr ndio maana tanga to arusha sgr ake fs tender ni upgrade sio parallel mkuu
Alafu mkuu dunia hii treni mpakaa 500km/h we unangangania tu kukaa na li mgr tena kwenye zones ambazo zinabeba vivutio vingi yani ni kama face yetu kwa wageni wetu mostly.
 
Na ukiongelea sector ya viwanda nothern arusha inaiva sana unavopeleka miundombinu inawapa wawekezaji uhakika na kuongeza ushindani hususani price inayotokana na usafirishaji.
inatakiwa samaki atoke musoma afike hotelini arusha siku hiyo hiyo hii ndio smart inclusive economy hata kama uganda hatotumia impact za ndani zinatosha tu
JPM atajenga hiyo baada ya kukamilisha central corridor, Isaka-Kigali na Mtwara-Mbamba bay!
 
si unaona serikali imesema PPP!
JPM atajenga hiyo baada ya kukamilisha central corridor, Isaka-Kigali na Mtwara-Mbamba bay!
Elewa unacho argue maana ulisema hauoni umuhimu sa hivi wala haina economic impact yoyote hata in next 10-20

sa hv unakubali jpm atajenga sio kila kitu uwe unaleta ujuaji mkuu vingine jifunze na uliza kuimarisha wazo lako

mwanzoni nlikuambia mbamba bay ni ppp na musoma nayo n ppp soma post za juu
 
Back
Top Bottom