Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wadau mawazo yenu yote ni mazuri..sana

Kuna pande wanayoona SGR sio economical viable in 10yrs time we have to wait and see na wengne wanona ijengewe hata sasa hivi....

Mimi naheshimu mawazo yote...

Ila mshawaza mnataka reli ifike musoma kwa sababu gani ?..kusafirisha watu cause ya tourism..na in country bussiness au as alternative to Central corridor

Port ya Tanga ni ndogo sana kwa Dar..kama unataka SGR ambayo itacost 4bn usd + huo ni uhakika..lazima pia uandae na 600mil usd ya berth nyngne 2 Tanga...je kuna umuhimu huo sa hizi..wakati hata hakuna barabara za wilaya to wilaya...za lami hazijaisha ..SGR ya central haijaisha ..na tunamikopo ya ku service ya sector mbali mbali ..Dar Port yenyewe haijafikia Mombasa kwa number ya Berths ..kwanii tuspianue Dar port kwa kujenga super berths hata tano mpya..najua kuna plan ya kujenga berth mpya mbil for 600mil usd..ukiachana na hii plan ya expansion...kwa kuweka hivi na maanisha tuna sehemu nyngne ambazo tumeanza tunahitaji tumalizie kwa nguvu na si kufanya nusu nusu

Mimi nnachoona kama ni PPP kama Great jay alivyosema basi ni heri na waanze hata keshoo..ila kama ni GOT basi au hata mkopo commercial sio WB au AFDB isubiri kwanza ...
kuna sehemu nying kuna gaps bado

1.SGR kukamilika Central na kukamlika kwa JNHPP hii itakuwa ndani ya next 5 years -8yrs kwa SGR ..na JNHPP in next 4 yrs mambo ya kienda vizuri

2.Tuanze wenyewe ku mine Chuma chetu hii itasaida hata kupunguza import wa vyuma vya ujenzi wa hyo hyo SGR

3.ATC yenyewe mm navyoona bado haiendeshwi tu standards nzuri maybe cause ya Covid but bado...zile dreamliner inabidi zisiwe zinalala lala yani ni kazi kwa kazi lets see after covid na in next 5 yrs na hapo imecost goverment around 700mil usd ..it need s more stability
4.Bado reli kuunga DRC we need around 4 wagon ferries for DRC and 4 wagon ferries for Uganda for SGR kwenda vizuri ..DRC ni soko kubwa sana kwa SGR ...watu na vitu..na ni taifa kubwa

5.Social services of course so far speed ni nzuri hasa kwa health services na appreciate..ila we need better equipped primary schools na secondary ku imrpove standard za elimu hasa elimu ya kutengeneza vitu na elimu ya kujiajiri.

6 .Serikali pia inabidi ijenge nyumba za gharama nafuu kwa wananchi..kwenye mikoa mbali mbali inafanyika na NHC ila sio gharama nafuu kwa wanachi wa kipato cha chini sana

By saying all that am against GOT kuchukua mkopo au kutumia Tax kujenga Tanga wakati hizo project juu hazijaisha...ila kama ni PPP sawa amabyo goveremnt itapewa reli after X no of years

Sijaona project kubwa mpka sasa ya PPP na govt of Tz ..lets see kama hyo itakuwa ya kwanza
Umesema vizuri sana, tatizo la watu hawapo realistic, wapo "very ambitious ". Jambo moja na zuri ninaloliona toka kwao ni kwamba wengi wako very "excited" kutokana na maendeleo yanayofanyika nchini, wana matumaini makubwa sana na uongozi na "future" ya Tanzania, vijana damu imechemka wapo tayari kufanya lolote kwa ajili ya maendeleo ya nchi yao, hiki ni kitu kizuri sana kwa nchi yetu.

Ukiacha kipindi cha uongozi wa Nyerere, sijawahi kuona watanzania wakiipenda na kuikubali nchi yao kama kipindi hiki" big up kwa Magufuli katika hili". Lakini ni muhimu hii "Energy must be controlled", lazima tutumie muda mwingi katika kupanga ni jinsi gani maendeleo yetu yatakua endelevu hata baada ya Magufuli kuondoka Madarakani, tusijaribu kuingiza tonge mdomoni tusiloweza kulitafuna.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa bado wanaugulia wengine wanajipa moyo EACOP itakosa financing backup

Magufuli stabs Kenya in fight for EA oil wealth
By DOMNIC OMONDI | September 15th 2020 at 12:00:00 GMT +0300
upo7zcd7xkpszu5f5fb50f13179.jpg

After warding off stiff competition from Kenya for years over the building of a crude oil pipeline from Uganda, Tanzania has moved closer to clinching the deal.
On Sunday, Tanzania and Uganda signed an agreement for the construction of a Sh378 billion East African Crude Oil Pipeline from Hoima in western Uganda to the port of Tanga, a move expected to breathe life into Tanzania’s Central Corridor, which has been competing with Kenya’s Northern Corridor.

Uganda had initially planned to transport its oil through Kenya, which wanted a joint facility for the product from its own fields in Turkana County.

But the signing of the agreement over the weekend at a meeting attended by Tanzania’s President John Magufuli and Uganda’s President Yoweri Museveni brings Dar es Salaam’s coup against Kenya closer to success.

Kenya – which has an estimated 560 million barrels of recoverable oil against Uganda’s 1.6 billion barrels – had eyed the infrastructure as part of its grand plan to become a “preferred regional petroleum transporter of choice”, according to official documents.

Critical anchor
The planned Uganda-Kenya Crude Oil Pipeline (UKCOP) was a critical anchor of the multi-billion-shilling Lamu Port-South Sudan-Ethiopia Transport (Lapsset) Corridor.

However, Magufuli, nicknamed ‘bulldozer’ for the way he rams through his policies, appears to have spoilt the party for Kenya, winning a crucial battle in the long drawn-out war for control of the region’s oil wealth.

Tanzania is expected to earn $3.24 billion (Sh349 billion) from the pipeline and create at least 18,000 jobs over the next 25 years.
However, Petroleum Principal Secretary Andrew Kamau downplayed the impact of the agreement, saying it was an affair between Tanzania and Uganda.

“It has nothing to do with us. They were always going to build a pipeline,” said Kamau.

But there are those who will not give up on the country’s chances of courting Uganda back.

“I wouldn’t give up still. Until they get financing for it and they start construction, that is when you know definitely it is gone,” said Charles Wanguhu, a social activist and co-ordinator of the Kenya Civil Society Platform on Oil and Gas.

Wanguhu said a lot is likely to happen this year, particularly with the outbreak of Covid-19, which lowered demand for oil and led to its price hitting record lows.

“It is not very clear yet how Covid-19 has impacted the oil and gas sector, so even financiers of the pipeline might be difficult to come by,” he said.

Wanguhu added that the combined oil reserves for Uganda and Kenya were likely to be more attractive to a financier than Uganda’s or Kenya’s alone.

Control and influence
However, as part of the bigger regional war for the control and influence of the economy, experts insist that the only way for Kenya to gain a competitive edge is by finalising and operationalising the Lamu Port.

Gerishon Ikiara, an economist and former Transport PS, noted that Uganda and Tanzania have for a while not been happy with the continued dominance of the Kenyan economy in the region.

“Now they (Uganda and Tanzania) are doing all kinds of things in an effort to come up and compete effectively with Kenya,” he said, giving the example of the volume of trade where Uganda has significantly slashed its trade deficit with Kenya by inviting foreign investors who have developed industries within its borders.

He noted that for these countries, it is competitiveness of infrastructure that will win the day, and this is where the crude oil export pipeline falls.

But it is still uncertain when a final investment decision (FID) on Kenya’s oil will be completed, which would set the stage for the commercial production of oil from Turkana’s Lokichar area.

Commercial production of oil is a precursor for the development of the Lamu Port.

Initially, it seemed as though Kenya had successfully won over Uganda, and the crude pipeline would snake its way from the oilfields in northern and western Uganda through Kenya’s oilfields in Lokichar before getting to Lamu County.

Wanguhu noted that a joint crude pipeline was the most viable option as both oil producers would enjoy economies of scale.

Joint initiative
In April 2013, Uganda signed a deal with Tullow Oil, Total SA of France and the China National Offshore Oil Corporation to build both an oil refinery and the pipeline.

“The MoU lays out a market framework for Uganda as a future oil producer, consisting of a crude export pipeline from the Lake Albert Basin to the Kenyan coast, to be developed in parallel with a right-sized petroleum refinery and the use of petroleum for power generation. The Ugandan and Kenyan Governments have in principle agreed joint initiatives for a crude oil pipeline,” said Tullow in its 2013 annual report.

The pipeline’s entire length will have to be heated to keep the waxy oil found in both countries in a molten state for easy evacuation.

In 2014, the two countries settled on Toyota Tsusho as th consultant for the pipeline. But then in early 2016, Uganda, started having a change of heart, with presidents Museveni and Magufuli announcing plans to build a competing oil pipeline.

PS Kamau, however, maintains: “They are going to build a pipeline and we are going to build ours. One has nothing to do with the other.”

But the fight for the construction of the pipeline has widened the rift between Kenya and Tanzania. At some point, Energy Cabinet Secretary Charles Keter, his PS Joseph Njoroge, Kamau and Lapsset CEO Sylvester Kasuku were denied entry into Tanga Port and their passports confiscated.

The three were reported to have gone to the region alongside a Ugandan delegation for the inspection of the port that is competing with Lamu and Mombasa as the exit point for Uganda’s petroleum in Hoima

Tanzanian authorities said they had not been informed of the visit by the Kenyan delegation. The Kenyan team insisted Dar es Salaam was aware of their visit and that they had gone to into the country to participate in joint talks between Uganda and Tanzania on the dispute over Uganda’s oil pipeline.

Magufuli stabs Kenya in fight for EA oil wealth
 
bure [emoji3][emoji3][emoji3] sasa sijui covid gani tena
Kama ni bure wacha zije tuzitafune, Corona imekwisha, na hata huo umeme katika vituo vya afya na Hospitali anazojenga Magufuli tayari zote zina umeme.

Walisubiri kuona kwamba tungeenda kuomba pesa ya uchaguzi lakini hawakutuona, kuomba pesa ya Corona hawakutuona, kuomba pesa ya Umeme vijijini hawakutuona, sasa wanalazimisha kutupa hata kama hatuwaombi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Joto la jiwe we pia hauko realistic na unachokiongea mkuu
Usiji position kujudge mind set za watu.
Umesema vizuri sana, tatizo la watu hawapo realistic, wapo "very ambitious ". Jambo moja na zuri ninaloliona toka kwao ni kwamba wengi wako very "excited" kutokana na maendeleo yanayofanyika nchini, wana matumaini makubwa sana na uongozi na "future" ya Tanzania, vijana damu imechemka wapo tayari kufanya lolote kwa ajili ya maendeleo ya nchi yao, hiki ni kitu kizuri sana kwa nchi yetu.

Ukiacha kipindi cha uongozi wa Nyerere, sijawahi kuona watanzania wakiipenda na kuikubali nchi yao kama kipindi hiki" big up kwa Magufuli katika hili". Lakini ni muhimu hii "Energy must be controlled", lazima tutumie muda mwingi katika kupanga ni jinsi gani maendeleo yetu yatakua endelevu hata baada ya Magufuli kuondoka Madarakani, tusijaribu kuingiza tonge mdomoni tusiloweza kulitafuna.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tz_one umeongea vizuri kwa mawazo yako ila hili muda utajibu zaidi.
kwa ppp ya gharama kubwa ya soon ni mbamba bay sgr na liganga.
Wadau mawazo yenu yote ni mazuri..sana

Kuna pande wanayoona SGR sio economical viable in 10yrs time we have to wait and see na wengne wanona ijengewe hata sasa hivi....

Mimi naheshimu mawazo yote...

Ila mshawaza mnataka reli ifike musoma kwa sababu gani ?..kusafirisha watu cause ya tourism..na in country bussiness au as alternative to Central corridor

Port ya Tanga ni ndogo sana kwa Dar..kama unataka SGR ambayo itacost 4bn usd + huo ni uhakika..lazima pia uandae na 600mil usd ya berth nyngne 2 Tanga...je kuna umuhimu huo sa hizi..wakati hata hakuna barabara za wilaya to wilaya...za lami hazijaisha ..SGR ya central haijaisha ..na tunamikopo ya ku service ya sector mbali mbali ..Dar Port yenyewe haijafikia Mombasa kwa number ya Berths ..kwanii tuspianue Dar port kwa kujenga super berths hata tano mpya..najua kuna plan ya kujenga berth mpya mbil for 600mil usd..ukiachana na hii plan ya expansion...kwa kuweka hivi na maanisha tuna sehemu nyngne ambazo tumeanza tunahitaji tumalizie kwa nguvu na si kufanya nusu nusu

Mimi nnachoona kama ni PPP kama Great jay alivyosema basi ni heri na waanze hata keshoo..ila kama ni GOT basi au hata mkopo commercial sio WB au AFDB isubiri kwanza ...
kuna sehemu nying kuna gaps bado

1.SGR kukamilika Central na kukamlika kwa JNHPP hii itakuwa ndani ya next 5 years -8yrs kwa SGR ..na JNHPP in next 4 yrs mambo ya kienda vizuri

2.Tuanze wenyewe ku mine Chuma chetu hii itasaida hata kupunguza import wa vyuma vya ujenzi wa hyo hyo SGR

3.ATC yenyewe mm navyoona bado haiendeshwi tu standards nzuri maybe cause ya Covid but bado...zile dreamliner inabidi zisiwe zinalala lala yani ni kazi kwa kazi lets see after covid na in next 5 yrs na hapo imecost goverment around 700mil usd ..it need s more stability
4.Bado reli kuunga DRC we need around 4 wagon ferries for DRC and 4 wagon ferries for Uganda for SGR kwenda vizuri ..DRC ni soko kubwa sana kwa SGR ...watu na vitu..na ni taifa kubwa

5.Social services of course so far speed ni nzuri hasa kwa health services na appreciate..ila we need better equipped primary schools na secondary ku imrpove standard za elimu hasa elimu ya kutengeneza vitu na elimu ya kujiajiri.

6 .Serikali pia inabidi ijenge nyumba za gharama nafuu kwa wananchi..kwenye mikoa mbali mbali inafanyika na NHC ila sio gharama nafuu kwa wanachi wa kipato cha chini sana

By saying all that am against GOT kuchukua mkopo au kutumia Tax kujenga Tanga wakati hizo project juu hazijaisha...ila kama ni PPP sawa amabyo goveremnt itapewa reli after X no of years

Sijaona project kubwa mpka sasa ya PPP na govt of Tz ..lets see kama hyo itakuwa ya kwanza
Mambo mengine yaendelee nazani..
 
Sasa mbona unaishi katika dunia ya nadharia?, kuna wataalamu wa kila eneo husika duniani, lazima kufanya mambo kitaalamu, hatuwezi kufanya mambo kwa mihemko na nadharia.

Kinachoonekana hapa unatumia nadharia zaidi kuliko kutumia ushahidi wa kitaalamu, kwanini unataka kuifanya Tanzania/awamu ya tano kuwa ni "special" haiwezi kushindwa au kupata hasara, kwamba haipaswi kusikiliza na kufanya mambo kitaalamu, kwamba hata kama wataalamu wanasema hili jambo haliwezekani kwasababu za kitaalamu, wewe unapinga kwasababu hii awamu ya tano haishindwi?.
Unataka kusema serikali imekurupuka? Kwani wao hawana wataalamu wanaowashauri?
Tuliposema kwanini serikali ilishindwa kuendesha reli na kutafuta wawekezaji, ukasema "usilinganishe serikali zilizopita na serikali hii". Tuliposema wawekezaji waliamua kuachana na hiyo reli ya Moshi kutokana na kutokua na biashara ya kutosha, ukasema "kulikua na hujuma", tumetoa mfano wa SGR ya Kenya, unasema usilinganishe Kenya na Tanzania,. Wewe toa mifano ya Afrika kuonyesha ni nchi gani iliyojenga reli mbili zinazoelekea sehemu moja na zikafanya kazi kwa ufanisi. Kukurahisishia, taja nchi yoyote ile Africa ambayo reli zake zinafanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu ukiacha South Afrika.
Hiyo hoja ya reli mbili sijui umeitoa wapi? kama unaongelea reli ya kati na hiyo ya Musoma, mbona zinapitia sehemu tofauti? Usiangalie reli zinapoanzia na kushia tuu, angalia pia na zinapopitia. Sio wateja wote wanaanzia Dar na kuishia Mwanza/Kigoma, wengine wanapandia kati na kushukia kati.
 
Wadau mawazo yenu yote ni mazuri..sana

Kuna pande wanayoona SGR sio economical viable in 10yrs time we have to wait and see na wengne wanona ijengewe hata sasa hivi....

Mimi naheshimu mawazo yote...

Ila mshawaza mnataka reli ifike musoma kwa sababu gani ?..kusafirisha watu cause ya tourism..na in country bussiness au as alternative to Central corridor

Port ya Tanga ni ndogo sana kwa Dar..kama unataka SGR ambayo itacost 4bn usd + huo ni uhakika..lazima pia uandae na 600mil usd ya berth nyngne 2 Tanga...je kuna umuhimu huo sa hizi..wakati hata hakuna barabara za wilaya to wilaya...za lami hazijaisha ..SGR ya central haijaisha ..na tunamikopo ya ku service ya sector mbali mbali ..Dar Port yenyewe haijafikia Mombasa kwa number ya Berths ..kwanii tuspianue Dar port kwa kujenga super berths hata tano mpya..najua kuna plan ya kujenga berth mpya mbil for 600mil usd..ukiachana na hii plan ya expansion...kwa kuweka hivi na maanisha tuna sehemu nyngne ambazo tumeanza tunahitaji tumalizie kwa nguvu na si kufanya nusu nusu

Mimi nnachoona kama ni PPP kama Great jay alivyosema basi ni heri na waanze hata keshoo..ila kama ni GOT basi au hata mkopo commercial sio WB au AFDB isubiri kwanza ...
kuna sehemu nying kuna gaps bado

1.SGR kukamilika Central na kukamlika kwa JNHPP hii itakuwa ndani ya next 5 years -8yrs kwa SGR ..na JNHPP in next 4 yrs mambo ya kienda vizuri

2.Tuanze wenyewe ku mine Chuma chetu hii itasaida hata kupunguza import wa vyuma vya ujenzi wa hyo hyo SGR

3.ATC yenyewe mm navyoona bado haiendeshwi tu standards nzuri maybe cause ya Covid but bado...zile dreamliner inabidi zisiwe zinalala lala yani ni kazi kwa kazi lets see after covid na in next 5 yrs na hapo imecost goverment around 700mil usd ..it need s more stability
4.Bado reli kuunga DRC we need around 4 wagon ferries for DRC and 4 wagon ferries for Uganda for SGR kwenda vizuri ..DRC ni soko kubwa sana kwa SGR ...watu na vitu..na ni taifa kubwa

5.Social services of course so far speed ni nzuri hasa kwa health services na appreciate..ila we need better equipped primary schools na secondary ku imrpove standard za elimu hasa elimu ya kutengeneza vitu na elimu ya kujiajiri.

6 .Serikali pia inabidi ijenge nyumba za gharama nafuu kwa wananchi..kwenye mikoa mbali mbali inafanyika na NHC ila sio gharama nafuu kwa wanachi wa kipato cha chini sana

By saying all that am against GOT kuchukua mkopo au kutumia Tax kujenga Tanga wakati hizo project juu hazijaisha...ila kama ni PPP sawa amabyo goveremnt itapewa reli after X no of years

Sijaona project kubwa mpka sasa ya PPP na govt of Tz ..lets see kama hyo itakuwa ya kwanza
Exactly, hii ndo maneno wale wa kulazimisha SGR Tanga-Arusha-Musoma hawawezi kuona na pia hawawezi ku-break down their argument why SGR to Musoma now! watu wasiwe na papara hii pipeline kwenda Tanga itafungua opportunities ambazo zitakuja kujenga demand ya hiyo SGR yaani Tanga-Arusha-Musoma ila kwa sasa hapana! Hii MGR yenyewe iko underutilized!
 
Joto la jiwe we pia hauko realistic na unachokiongea mkuu
Usiji position kujudge mind set za watu.Tz_one umeongea vizuri kwa mawazo yako ila hili muda utajibu zaidi.
kwa ppp ya gharama kubwa ya soon ni mbamba bay sgr na liganga.Mambo mengine yaendelee nazani..
Ni vizuri kukubali argument bora na si kuanza kushambulia watu na ukanda na ukabila hapa economics ndo inaongeleka lets wait demand to build up at Tanga port. Lets wait the EACOP oil terminal to be constructed n current expansion to be completed. Nina uhakika tutapata picha kamili kuna uwezekano with their oil money Uganda waka-commit to Tanga port as the efficiency of Wagon ferries to Mwanza from Port bell and onwards by SGR to Dar will be a determinant factor! For now give a MGR a chance ti create a demand for railway services.
 
Maneno mazuri ila sikubaliani na shana kwamba akitoka Magufuli hakuna mtu wa kuendeleza kasi hii.....

Suleiman jafo humuoni!! Jamaa yuko vizuri sana. BITEKO pia humuoni?? Mwinyi Zanzibar humuoni? ? Vijana wapo, ambao kwa sasa wanafundishwa kushika usukani hapo baadae.
Heheheheheeee unaota ww mkuu [emoji3][emoji3]
 
Ni vizuri kukubali argument bora na si kuanza kushambulia watu na ukanda na ukabila hapa economics ndo inaongeleka lets wait demand to build up at Tanga port. Lets wait the EACOP oil terminal to be constructed n current expansion to be completed. Nina uhakika tutapata picha kamili kuna uwezekano with oil money Uganda waka-commit to Tanga port! For now give a MGR a chance ti create a demand for railway services.
Kasome replies zangu kabla hujajibu mzee.
Ukikuta mahali nimeongelea ukabila au ukanda ni tag nifute iyo comment ..
Kumention neno ukanda au ukabila tyr ww ndio unaleta story za kijinga kuna wakati huku wote watz na ke niliwahi kuwasema hapa kuhusu utu kwa pande zote mbili achana na kuniambia nachochea ukabila na hata juu nimeacha post nyingi kujibu
na kulike zote negative na positive ili topic isigawanye watu wala kwenda nlikokuwa sifikirii.
Ukiona unawaza ukabila au ukanda jua huna hoja kuhusu unachokiongea, ndio mtu akikosa hoja hutumia maneno yenye kugawa watu ndio unachokichochea hata kama mtu anaongea au kuhubiri ukabila we tafuta point usinganganize kukemea au kunyoosha kidole maana hata ww utakuwa ni mkabila tokea mwanzo nimeongelea kuhusu sgr ya mbamba bay kwa hiyo me ni mkabila wa kusini na kazkazini .

Argument bora ikoje mkuu? Sehemu kubwa nimejibu kwa fact na tu leta mahali nlipojibu bila kuargue vizuri na link ulizoomba nilikuletea ila bado nikawaambia time will determine ili mjadala uishe .
mambo ya berth na pipeline na mengineyo mkuu mimi nafatilia na nnajua how good we move kuongelea sgr ya musoma ni kama ninavo comment hapa kuhusu lolote lile nnaloona nnalijua na nnaweza kuuliza ila view yako ndio imekuza hii kitu kuonekana ni ya kibinafsi wakati ni swala nililouliza ti ni sawa na kuuliza tutajenga lini daraja mtera, ila topic. Mmeiweka in dfrnt view kabisa
Hakuna mahali nimeshambulia mtu ila ukileta ujuaji lazima uambiwe.
Tusikuze mjadala
 
Back
Top Bottom