Inatia moyo...[emoji122][emoji122]bado tukaze kamba lakini sio haba [emoji1241][emoji122][emoji122]
Wanapandwa sasa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
watu wanaiba mpaka kahawa jaman[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
tena na bunduki.
Duu 😳😳haya bwana!![]()
MY TAKE
Naona kama madaraja mengine mawili yakiwekwa kukatiza lake Victoria umbali wa kagera na Kigali tokea Mwanza utapungua sana! pia lingine kati ya Mwanza na Musoma.
hahah inaweza kuwa kama zile KDF fighter jets toka Jordan! ambazo baadae lugha ilibadilika zimenunuliwa kwa ajili ya spare parts! BTW pia wamekataa kutaja bei ya hizo DMUs!Mbona hawaoneshi hizo DMUs?
Hii ikikamilika ndio pale Ubungo panapihwa Nyundo na mradi mkubwa wa Logistic hub unaanza .
hahah inaweza kuwa kama zile KDF fighter jets toka Jordan! ambazo baadae lugha ilibadilika zimenunuliwa kwa ajili ya spare parts!
Hazijafika bado, hizo ni propaganda zao. Ingekuwa zimefika hapa nyang`au wote wangejazana hapa kwenye huu uzi. Sasa saiv wanatuonesha biashara za udobi ingekuwa huu mzigo umefika kweli picha zingejaa humu na video. Halafu kuacha hiyo page uliyo share hapa, hakuna credible source yoyote iliyo report hiyo kitu. Ukiona na body language ya huyo dada msoma habari it`s like staged news.
Since July they were released in Barcelona
Ya september iko baada ya bajeti kupitishwa[emoji23][emoji23][emoji23]kwan hua munatoa salary mwanzo wa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1567569
Ze mitumbas have arrived
so munalipa wafanya kazi mwanzo wa mwezi manake mshahara wa sept munalipa tar 1 sept 😂😂😂😂😂 ww hua hukubali kushindwa daimaYa september iko baada ya bajeti kupitishwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanga town. good. Tanga town needs a lot more work. Buildings look old or informal like structures. Good roads though