Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,316
- 4,255
Amazing!
Amazing!
na hiii😂😂😂👇👇👇March salaries na sai tupo september, kweli upo desperate[emoji23][emoji23][emoji23]
Ya september iko wapi
kwan hua munatoa salary mwanzo wa mwezi 😂😂😂👇👇👇Heheehe!!za september ziko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Utaendelea kuumia sana..
Hku mtu ukimcheleweshea mshara anakiwasha...
Enhee na ona umekimbia kw narok baada ya kukuchoma sindano[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Tafuta strike zngine za kucheleweshewa mishara za kutoka january ujifurahishe juha
Wamesema wanaweka BRT garage 🙂Hii ikikamilika ndio pale Ubungo panapihwa Nyundo na mradi mkubwa wa Logistic hub unaanza .
Wapo slow kama konokonoUnder Construction 🚧
View attachment 1567544
Hata hivyo barabara ya Bagamoyo iko bize sana.Wapo slow kama konokono
Tanga town. good. Tanga town needs a lot more work. Buildings look old or informal like structures. Good roads though
Kenya kufikia GDP ya $108.5B by 2030, jiuliza sasa hivi ni ngapi?
Nmeona hvyo pia..kwenye video ya phase 2 seems like mradi utachukua maybe nusu ya space au umekufaWamesema wanaweka BRT garage [emoji846]
Kwahiyo kila mwaka uchumi wao utakua kwa 0.8 kwa kipindi cha miaka kumi ijayo?, ni wazi kwamba GDP yao kwa sasa ipo kwenye $75B kama tunavyowaambia kila siku.si wanadai wame-hit $100 bln mark?
Mie niliwapa a GDP of $200 bln kabisa ili ku-pamper their abrasive ego!Kwahiyo kila mwaka uchumi wao utakua kwa 0.8 kwa kipindi cha miaka kumi ijayo?, ni wazi kwamba GDP yao kwa sasa ipo kwenye $75B kama tunavyowaambia kila siku.
Nusu logistics nusu brt Garage.Wamesema wanaweka BRT garage 🙂
Pale ni kwa ajili ya BRT mchina akawanunue wale wakaazi upande wa Ubungo maji!Nusu logistics nusu brt Garage.