joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Sio kweliKumbuka Jengo la stesheni Kilosa halikuwa limepangwa kuwa kubwa vile hapo awali!
Kwahivy utakubaliana na mm kuwa eneo la Ubungu halina ulazima lote litumike kwa BRT pekee....?
BRT itakuwepo kwenye mradi huu upande wa Chini huku nyuma, Angalia Bati la kijani la Ubungo BRT terminal na Hilo la huko chini ni mali Property ya BRT.
View attachment 1568416
上海凌航实业集团有限公司
Kwa nini mnataka kulazimisha mabasi yote lazima yalale ubungo?!kuna umuhimu huo?!!miradi yote iliyofuata imetengewa maeneo yake! deposit zipo,mpk sehemu za kujazia mafuta huko huko kama sio gesi!!!Kwa wenye kumbukumbu au kama baadhi yenu mlikuwepo hilo eneo la stendi ya Ubungo ndio ilikuwa karakana kuu ya UDA.
Yale ma Icarus kumba kumba na mabasi yao yote yalikuwa yakilaka pale na kukarabatiwa pia
Unafahamu at its peak UDA alikuwa na mabasi mangapi? na unajua mipango ya BRT imeproject future expansion ya kufikisha mabasi mangapi?
Sikatai sehemu ya eneo inaweza kutumika kwa shughuli nyingine kama mall, hotel etc kutokana na uwingi wa watu watakao kuwa wanafanyakazi hapo na surrounding areas but that will require a fraction of the land.
Breaking news: Museveni visit to Geita
nafikiri amekuja kuongea kuhusu bomba la mafuta
cha ajabu mseven anakuja na kukuta watu hawajavaa barakoa [emoji23]
Mi nangoja nione kama Uhuru atajipendekeza tena this time kwenda kulamba miguu ya JPM kuomba msamaha wa madudu ya corona kama last time alivyojialika akapewa tausi!
Ndio nilich kuwa nakijua mm...[emoji1666]BRT itakuwepo kwenye mradi huu upande wa Chini huku nyuma, Angalia Bati la kijani la Ubungo BRT terminal na Hilo la huko chini ni mali Property ya BRT.
View attachment 1568416
上海凌航实业集团有限公司
Wacha ujinga wewe hiyo ardhi yote ni ya BRT for future plans huyo Mchina atafute sehemu nyingine!Kwa nini mnataka kulazimisha mabasi yote lazima yalale ubungo?!kuna umuhimu huo?!!miradi yote iliyofuata imetengewa maeneo yake! deposit zipo,mpk sehemu za kujazia mafuta huko huko kama sio gesi!!!
Aisee ukitaka Uhuru avae chupi kichwani afanye hivyo yaani huko Kunyaland kutalipuka!leo anapokea taarifa mbili mbaya sana..
1. bomba la mafuta
2. ujenzi wa SGR (hapa napenda Magu alichomekee hili jambo, then amwambie kabsa M7 live adharani na yey ajenge SGR ya kuelekea TZ)
Geza kuna wakati unashangaza, niliwahi kusema hapa kwamba kama reli ya Isaka - Kigali ikijengwa inaweza kumpa ushawishi museveni kuunganisha.Aisee ukitaka Uhuru avae chupi kichwani afanye hivyo yaani huko Kunyaland kutalipuka!