Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Survey ya kupima viwanja nchi nzima ya Lukuvi imeishia wapi?The best 007 ataanzisha.
Survey ya kupima viwanja nchi nzima ya Lukuvi imeishia wapi?The best 007 ataanzisha.
Nafikiri hii nyuzi aianzishe Lusematic kwasabu mm pia kuna nyuzi yakuhusu usafi wa jiji la Dar naiandaa mkuu.The best 007 ataanzisha.
Mkuu unanifurahisha sn unavyoenda sawa na huyu mpuuzi cz ni mjinga sana, yupo huyu na yule mjinga mwengine Teargass ni wanaonesha taswira mby sn ya Wakenya humu.
Haya yote yanapaswa kuwekwa katika huo uzi na mengine yatajaziwa humo humo, pia ingekuwa vizuri huo uzi ukianzishwa tujitahidi kushare ktk platforms zingine ili usambae haraka iwezekanavyo.Survey ya kupima viwanja nchi nzima ya Lukuvi imeishia wapi?
Ni mpango wa miaka kumi na ulianzia Morogoro ila sijajua kwa sasa umeishia wapi.Survey ya kupima viwanja nchi nzima ya Lukuvi imeishia wapi?
Mm naona mkuu uiandae ww zen cc tuta act km back up mm kuna nyuzi naiandaa kuhusu usafi wa jiji letu na kulinda ubora wa barabara zetu (dmdp) mkuu.naunga mkono ....
inabidi aandae mtililiko mzuri wa maneno wenye
Congo wangekua wanatumia kiingereza ndio ungeshangaa jinsi wanavyopenda products za Tanzania.
JPM husema tufanye kazi!Alafu,lazima watumie brand ya TZ ili wauze!
Mbezi mwisho hadi final touch ilikua inafikia ukingoni,ila ndio kulikua na bonge la foleni kila siku iliyokua inasababishwa na jinsi kona ya goba kulivyodesigniwa,juzi wamefumua upyaa pale kona ya goba,nasikia kuna kitu kipya cha maana kinapandwa paleYaap,
The Mighty Salenda Bridge,
Flyovers Mwenge, Morocco, Ubalozi, Kamata, Magomeni, Tabata, Uhasibu
Countless road expansions and Pavements in Dar including Tegeta Bagamoyo with BRT
JNIA chanika With BRT etc
Modernization of Coco Beach, ili Dar tupate watalii kama wote, zile roads zinazounga Salenda bridge ziko kwenye final touches, nimepita jana,
Plus Dodoma Msalato International Airport and Stadium ya Kisasa Dodoma watu tuwe tunaenda na SGR Dom kucheki mechi na Kurudi Dar jioni hiyohiyo..
tupo pamoja 😂😂👇👇👇baada ya kq kutengeneza hasara 21b ksh sasa ni zamu ya white elephant
View attachment 1564797
Sure pale palikuwa pamekaa vibaya. Wapandishe Flyover ya kishuaMbezi mwisho hadi final touch ilikua inafikia ukingoni,ila ndio kulikua na bonge la foleni kila siku iliyokua inasababishwa na jinsi kona ya goba kulivyodesigniwa,juzi wamefumua upyaa pale kona ya goba,nasikia kuna kitu kipya cha maana kinapandwa pale
Nasikia kuna flyover itawekwa pale kuondoa ile foleniSure pale palikuwa pamekaa vibaya. Wapandishe Flyover ya kishua
Ungemueleza mwenyekiti wako hayo manene ungekuwa umemsaidia sana,kwangu unapoteza mda,mkabila na mbaguzi si unamsikia kila siku sasa makelele na kujikesha kwangu nikusaidiaje? mimi naleta maneno ya mwenyekiti wenu yanayokinzana na ustaarabu wa kitanzania.Si huwa mnawaponda wakenya nyie kwamba wako kikabila na huyo mwenyekiti wenu je? Nitakuwa nawaletea updates za mwenyekiti wenu kadiri anavyobwabwajaunatuletea uadui kwenye nchi ya amani iliobarikiwa 😂😂😂 Ccm itakutoa nyongo bure na bado watakubana mpaka gololi za kende zibutuke mbuzi wewe😃😃 unakuja kulia mbele ya wanaume wenzio unataka nn kama ni mchezo huo tumekatazwa mwiko
😂 😂 😂 😂 sindano hizo zimeanza kufanya kazi,mimi sili wala silishwi na jf ndugu ndio maana huwa natokea mara chache sana humu kuja kuwaweka sawa na kusawazisha upotoshaji wenu,hata nisipoingia humu kwa kunipiga ban hakuna hasara ntapataMods Invisible Moderator n.k kuna watu wanaharibu huu uzi kwa kuchanganya na mambo ya siasa kana kwamba hakuna uzi wa siasa humu jamii forums, tunaomba mtutolee hawa watu co kwmb hatupendi challenge no ila ziwe zinazohusiana na mada husika na co km wanavyofanya hawa watu kuchanganya chuki binafsi tunaomba hawa watu watoke humu ndani hususan huyu anayejiita ChoiceVariable naomba mmuangalie kwa makini anaharibu huu uzi.