Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ungemueleza mwenyekiti wako hayo manene ungekuwa umemsaidia sana,kwangu unapoteza mda,mkabila na mbaguzi si unamsikia kila siku sasa makelele na kujikesha kwangu nikusaidiaje? mimi naleta maneno ya mwenyekiti wenu yanayokinzana na ustaarabu wa kitanzania.Si huwa mnawaponda wakenya nyie kwamba wako kikabila na huyo mwenyekiti wenu je? Nitakuwa nawaletea updates za mwenyekiti wenu kadiri anavyobwabwaja
huyo ndio rais sasa vumilia maumivu mpaka 2025 hatuna haja ya kusikua povu lako maana hazitusaidii ww pambana na hali yako kama amekubana kishipa vumilia tu abane vzr, 😂😂😂😂 CCM oyeeeeeee magu jembe
 
😂 😂 😂 😂 sindano hizo zimeanza kufanya kazi,mimi sili wala silishwi na jf ndugu ndio maana huwa natokea mara chache sana humu kuja kuwaweka sawa na kusawazisha upotoshaji wenu,hata nisipoingia humu kwa kunipiga ban hakuna hasara ntapata
na kuna faida gani unapata je??😃😃 wewe kiazi kweli nani anapotosha humu ndabi hvi dunia ya leo 21st century utadanganya nani ??? hayo mapovu peleka jukwaa la siasa humu hapakufai
 
huyo ndio rais sasa vumilia maumivu mpaka 2025 hatuna haja ya kusikua povu lako maana hazitusaidii ww pambana na hali yako kama amekubana kishipa vumilia tu abane vzr, 😂😂😂😂 CCM oyeeeeeee magu jembe
Oktoba bado acha kujichekesha ni rais kwa sasa hivi anamalizia awamu yake,mimi nawasemea wale mliowafukarisha vijijini na mijini amabao hawana hata bando la kuingia jf na sio mimi sina nilichobanwa kwa taarifa yako,wewe na maccm wenzio ni mashetani mnaonufaika na jasho la wengine ndio maana mnalopoka ropoka na hamjali chochote,huwa hamuwaoni watu wenu wanavyotia huruma huko kwenye mikutano? Hata aibu hamna kuwaeleza mambo ya ndege sijui sgr na utopolo mwingine
 
😂 😂 😂 😂 sindano hizo zimeanza kufanya kazi,mimi sili wala silishwi na jf ndugu ndio maana huwa natokea mara chache sana humu kuja kuwaweka sawa na kusawazisha upotoshaji wenu,hata nisipoingia humu kwa kunipiga ban hakuna hasara ntapata
siki hii nyumbu mwenzio 😂😂👇👇

33D90982-70C5-4F51-B6AD-33D1E2B1EE9D.jpeg
 
Oktoba bado acha kujichekesha ni rais kwa sasa hivi anamalizia awamu yake,mimi nawasemea wale mliowafukarisha vijijini na mijini amabao hawana hata bando la kuingia jf na sio mimi sina nilichobanwa kwa taarifa yako,wewe na maccm wenzio ni mashetani mnaonufaika na jasho la wengine ndio maana mnalopoka ropoka na hamjali chochote,huwa hamuwaoni watu wenu wanavyotia huruma huko kwenye mikutano? Hata aibu hamna kuwaeleza mambo ya ndege sijui sgr na utopolo mwingine
na ntakutafuta oktoba usijal ili unipe matokeo 😂😂😂😂
 
Hivi Hawa watu mpka Sasa walikuwa hawana Referral Hospital kwa Kila county wakati Sisi tumeishatoka huko,Sasa hivi tuko Regional Hospital
 
Tz farmers concerns. Exporting food to other countries while some of its own don't have enough is not wise. Video is about 2yrs old.

Back
Top Bottom