Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ACHA USENGE. PELEKA HUU UMBEA WAKO HUKO JUKWAA LA SIASA.
Nimekuumbua,ndio hivyo mzee ni 31% tu na ilani mumetekeleza ,be it umbea or otherwise huo ndio ukweli umeze tuu maana mumezoea kupotosha hapa jukwaani
 
Unaushahidi? Unahara tu huna facts
Unadhani naropoka kama wewe,mimi nina ilani ya maccm ya 2015 na ninayo hata ya sasa..soma humo utaona na kuhusu barabara kuna bajeti ya ujenzi mwaka huu na ilani ya maccm inazungumzia hayo..Hata sekta ya afya ilani ilisema kituo cha afya kila kata mumeishia kujenga na kukarabati 500 tu out of 3000 plus..fanya hesabu kama unajua..
Bajeti ya kilimo ilipungua over 2/3 ya kiasi cha 2015..you are horrible indeed
 
Hongera kwa kufuatilia Kila kitu cha TZ,hadi ilani ya vyama.ni hayo tu.
 
Yaani Kiswahili kingi kina hasara yake. Hekima yenu TZ iko chini sana.
Your IQ is very low..yaani wakati mwingine mimi hata hutaka nije tZ nisimame urais at least niwainue kiasi..yaani mna akili mboga zaidi... ati mnashindana na Kenya..aisee mko nyuma....chakula kiko Kenya..na njaa ikija yaja Kwa sababu za mvua etc na hilo huwa ni zaidi ya akili ya Wana damu...hata tz huwa mwaumia na njaa wakati Fulani
Sasa nchi ambayo iko mbele kwa Kila kitu,zinategemeaje mvua kwenye kilimo buda😅😅😅 nchi amabzo ziko mbele zinafanya lrrigation hata Kama nchi yote ni desert,na hazipewi msaada wa chakula.
 
Tumemsikia anaongea kwa kisukuma eti unaachaje kumchagua wa kabila lako unamchagua mwingine,na sisi tusio wasukuma tutatembea na hiyo biti.
Huyu mkabial wenu soon atawafikisha kuwa kama Wakenya ,Warundi na Wasudani mnaowasemaga humu kwamba wanaukabila.zero brain kabisa
Hivi mzee wewe ni Mkenya mbona una interest sana na Mambo ya Tanzania?
 
Sasa nchi ambayo iko mbele kwa Kila kitu,zinategemeaje mvua kwenye kilimo buda[emoji28][emoji28][emoji28] nchi amabzo ziko mbele zinafanya lrrigation hata Kama nchi yote ni desert,na hazipewi msaada wa chakula.
Hehehe, huyo jamaa sijui hata kama ashaenda hata Darasa moja,
Yaani ana Akili ndogo balaa, Ni Mpumbavu na hafundishiki, Imagine hata vitu vidogo hivi hawezi kureason,
Na ndio majority of Kenyans wako hivi
 
Ehdm3D0WAAAODmf

Mods Invisible Moderator n.k kuna watu wanaharibu huu uzi kwa kuchanganya na mambo ya siasa kana kwamba hakuna uzi wa siasa humu jamii forums, tunaomba mtutolee hawa watu co kwmb hatupendi challenge no ila ziwe zinazohusiana na mada husika na co km wanavyofanya hawa watu kuchanganya chuki binafsi tunaomba hawa watu watoke humu ndani hususan huyu anayejiita ChoiceVariable naomba mmuangalie kwa makini anaharibu huu uzi.
 
Nimekuumbua,ndio hivyo mzee ni 31% tu na ilani mumetekeleza ,be it umbea or otherwise huo ndio ukweli umeze tuu maana mumezoea kupotosha hapa jukwaani
Ww huwa km mbwa koko kazi kunusanusa tuu..sasa unapoponda hebu jaribu kubalance habari yako ili ilete mana...mfano ungetakiwa n ww useme sisi ofisi ya chama ni hii tangu 1995....siasa ipo cha msingi pambana n maisha yako hakuna atakae kuwekea ugali mezani....ww ni mzito sana...
Screenshot_20200807-150403.jpg
 
Ndg kubomoa zote nadhani ni vigumu ila kwa maoni yangu wapitishe barabara za mitaa zilizo pangiliwa vizuri na wote ambao nyumba zao zinapitiwa na barabara walipwe fidia, kukiwa na barabara mitaa itapendeza. Case study niliona mji mmoja kule geita unaitwa buselesele wamefanya hivyo na mitaa imekuwa vizuri.

Kwa hili hata mimi nafikiri ni kitu kinachowezekana kabisa.Yaani Serikali ikubali tu kuingia gharama.Na hii wanaweza kulifanya kidogo kidogo kwa awamu kwa baadhi ya miji,na hasa ile mikubwa kama Dar,Arusha,Mwanza na Mbeya

Hili siyo tu litapendezesha miji lakini pia itaongeza thamani ya maeneo husika na iitawavutia hata watu wenye hela zao kuwalipa fedha ndefu wenyeji kwa ajili ya kuweka majengo mazuri ya biashara

Na , badala ya kujenga tu barabara wanaweza pia kujenga miundombinu ya huduma za jamii kama masoko,stand n.k
 
Hawa watu wanaoleta siasa ktk huu uzi naomba tuwaapuuze...Kuwajibu ni kuwapa attention wasio stahili...na inawapa nguvu kuendelea kuandika yasiyostahili...tukiwapuuza with time watachoka na kutuachia uzi wetu...
 
Kwa hili hata mimi nafikiri ni kitu kinachowezekana kabisa.Yaani Serikali ikubali tu kuingia gharama.Na hii wanaweza kulifanya kidogo kidogo kwa awamu kwa baadhi ya miji,na hasa ile mikubwa kama Dar,Arusha,Mwanza na Mbeya

Hili siyo tu litapendezesha miji lakini pia itaongeza thamani ya maeneo husika na iitawavutia hata watu wenye hela zao kuwalipa fedha ndefu wenyeji kwa ajili ya kuweka majengo mazuri ya biashara

Na , badala ya kujenga tu barabara wanaweza pia kujenga miundombinu ya huduma za jamii kama masoko,stand n.k
inabidi tujumuike humu wazalendo tuliopo JF tufanye kitu ili tuipush serikali ili iweze kusimamia hili swala......

sehemu zinazojengwa makazi mapya yasijirudie yaliyopita
 
Back
Top Bottom