Se-ronga
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 650
- 909
Hili ndio jambo la kuzungumzia mkuu yn ifike kipindi huu uzi uwe na open impact kwa nchi yetu mana yanayofanyika tunayaona na kweli tumeridhika nayo bila kujali tuna hali gn kwa ss but cc co wapuuzi eti tusielewe mikakati ya kuendeleza uchumi wa kweli ilivyo na ndiyo maana tupo humu tukipongeza yaliyo mema kwa taifa but yale ya hovyo pia ni lazima tupambane nayo kwa vyovyote vile ili kuwa na Tz tuliyokuwa tukiiota ambayo vizazi vijavyo vitasema kweli mababu zetu walipambana.inabidi tujumuike humu wazalendo tuliopo JF tufanye kitu ili tuipush serikali ili iweze kusimamia hili swala......
sehemu zinazojengwa makazi mapya yasijirudie yaliyopita
Nilifikiri yale maghorofa yanayojengwa Magomeni ni moja ya mpango wa kuupanga mji.Kwa hili hata mimi nafikiri ni kitu kinachowezekana kabisa.Yaani Serikali ikubali tu kuingia gharama.Na hii wanaweza kulifanya kidogo kidogo kwa awamu kwa baadhi ya miji,na hasa ile mikubwa kama Dar,Arusha,Mwanza na Mbeya
Hili siyo tu litapendezesha miji lakini pia itaongeza thamani ya maeneo husika na iitawavutia hata watu wenye hela zao kuwalipa fedha ndefu wenyeji kwa ajili ya kuweka majengo mazuri ya biashara
Na , badala ya kujenga tu barabara wanaweza pia kujenga miundombinu ya huduma za jamii kama masoko,stand n.k
Bro, yaani kama uko kwenye kichwa changu, nilikuwa na mpango wa kuanzisha mlolongo wa mada kule kwenye siasa kuliongelea hili suala la mipango miji.Napendekeza uanzishwe uzi humu wa kuwahusu mipango miji ili tuwaongezee meno cz binafsi naona kama GoT haiiangalii hii ofisi kwa jicho la mwewe, naomba tuanzishe uzi wa kuhusu umuhimu wa kuzingatia ujenzi wa kufuata ramani.
So naunga mkono hoja.
Kenya ukitaka kuuza haraka bidhaa zako hasa vyakula, matunda, vinywaji vikali na Wine, sema vimetoka Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini sio kenya pishori [emoji23][emoji23][emoji23]
Fungua kaka cc tuta act km back up na naamini litafika mbali cz Jf inatazamwa sn na viongozi wa nchi hii na ndiyo maana mambo mengi ya humu tukilalamika huwa tunasikilizwa sn cz wanaamini here is the home of great thinkers.Bro, yaani kama uko kwenye kichwa changu, nilikuwa na mpango wa kuanzisha "series" za mada kule kwenye siasa kuliongelea hili suala la mipango miji.
Mzee mwanakijiji aliwahi kukomalia suala la podium ya Rais kuwa ni chafu, na baadhi yetu tukakubaliana naye. Na kweli baada ya muda jamaa wakamchongea lingine lenye nembo ya mbao.
Hii kitu nimegundua hata mm mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kenya ukitaka kuuza haraka bidhaa zako hasa vyakula, matunda, vinywaji vikali na Wine, sema vimetoka Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
unatuletea uadui kwenye nchi ya amani iliobarikiwa 😂😂😂 Ccm itakutoa nyongo bure na bado watakubana mpaka gololi za kende zibutuke mbuzi wewe😃😃 unakuja kulia mbele ya wanaume wenzio unataka nn kama ni mchezo huo tumekatazwa mwikoTumemsikia anaongea kwa kisukuma eti unaachaje kumchagua wa kabila lako unamchagua mwingine,na sisi tusio wasukuma tutatembea na hiyo biti.
Huyu mkabial wenu soon atawafikisha kuwa kama Wakenya ,Warundi na Wasudani mnaowasemaga humu kwamba wanaukabila.zero brain kabisa
CCM mbele kwa mbele 👇👇👇👇 utake usitakeNimekuumbua,ndio hivyo mzee ni 31% tu na ilani mumetekeleza ,be it umbea or otherwise huo ndio ukweli umeze tuu maana mumezoea kupotosha hapa jukwaani
Nimecheka sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unatuletea uadui kwenye nchi ya amani iliobarikiwa [emoji23][emoji23][emoji23] Ccm itakutoa nyongo bure na bado watakubana mpaka gololi za kende zibutuke mbuzi wewe[emoji2][emoji2] unakuja kulia mbele ya wanaume wenzio unataka nn kama ni mchezo huo tumekatazwa mwiko