ni kweli ichoboy01 NDINDA Annael Geza Ulole tuusan Simon game over babayao255 Tanzanianist Mgagaa na Upwa spencerHili ndio jambo la kuzungumzia mkuu yn ifike kipindi huu uzi uwe na open impact kwa nchi yetu mana yanayofanyika tunayaona na kweli tumeridhika nayo bila kujali tuna hali gn kwa ss but cc co wapuuzi eti tusielewe mikakati ya kuendeleza uchumi wa kweli ilivyo na ndiyo maana tupo humu tukipongeza yaliyo mema kwa taifa but yale ya hovyo pia ni lazima tupambane nayo kwa vyovyote vile ili kuwa na Tz tuliyokuwa tukiiota ambayo vizazi vijavyo vitasema kweli mababu zetu walipambana.
Napendekeza uanzishwe uzi humu wa kuwahusu mipango miji ili tuwaongezee meno cz binafsi naona kama GoT haiiangalii hii ofisi kwa jicho la mwewe, naomba tuanzishe uzi wa kuhusu umuhimu wa kuzingatia ujenzi wa kufuata ramani.
So naunga mkono hoja.
Hii si tu ni hatari kwa Kenya Bali kwa Africa nzima.
Bonge ya idea mkuu let's do thatinabidi tujumuike humu wazalendo tuliopo JF tufanye kitu ili tuipush serikali ili iweze kusimamia hili swala......
sehemu zinazojengwa makazi mapya yasijirudie yaliyopita
Wakenya wengi hata fb na twitter,wanasema wako mbele ya TZ kwa kila kitu,nikiwauliza wataje wako mbele kwa kitu gani,wanakimbia😃😃 yaani wajinga kweli.Hehehe, huyo jamaa sijui hata kama ashaenda hata Darasa moja,
Yaani ana Akili ndogo balaa, Ni Mpumbavu na hafundishiki, Imagine hata vitu vidogo hivi hawezi kureason,
Na ndio majority of Kenyans wako hivi
Ni jambo linalohitaji kusemewa sana hasa kipindi hiki ambapo miji mingi inakuani kweli ichoboy01 NDINDA Annael Geza Ulole @mkorito
nawengineo wakuu tuna shughuli zinazotubana lakini kwa hili kuhusu mipango miji tufanye jambo
ni kweli kaka thread inabidi ianzishwe ili tuweze kuyajenga binafsi nipo agreed kwa hiliNi jambo linalohitaji kusemewa sana hasa kipindi hiki ambapo miji mingi inakua
Good,Hili ndio jambo la kuzungumzia mkuu yn ifike kipindi huu uzi uwe na open impact kwa nchi yetu mana yanayofanyika tunayaona na kweli tumeridhika nayo bila kujali tuna hali gn kwa ss but cc co wapuuzi eti tusielewe mikakati ya kuendeleza uchumi wa kweli ilivyo na ndiyo maana tupo humu tukipongeza yaliyo mema kwa taifa but yale ya hovyo pia ni lazima tupambane nayo kwa vyovyote vile ili kuwa na Tz tuliyokuwa tukiiota ambayo vizazi vijavyo vitasema kweli mababu zetu walipambana.
Napendekeza uanzishwe uzi humu wa kuwahusu mipango miji ili tuwaongezee meno cz binafsi naona kama GoT haiiangalii hii ofisi kwa jicho la mwewe, naomba tuanzishe uzi wa kuhusu umuhimu wa kuzingatia ujenzi wa kufuata ramani.
So naunga mkono hoja.
Hahahaaa huyu mpuuzi anaongoza kula ban humu na hakomi anachofanya ni kutengeneza Id's tofauti tofauti mjinga sana uyu jamaa.Hii ndio dawa ya wasio kuwa na adabu humu jf. View attachment 1564676
But sidhani kama hii ndio design yake, hili picha liko mtandaoniMwanza Airport itakuwa moto,JPM tano tena![]()
Nitahakikisha zote zinakula ban hadi awe na adabuHahahaaa huyu mpuuzi anaongoza kula ban humu na hakomi anachofanya ni kutengeneza Id's tofauti tofauti mjinga sana uyu jamaa.



Tukubaliane atakayeanzisha ili mambo yasije gongana.....Good,
Uzi uanzishwe kule kwenye jukwaa la habari mchanganyiko.
The best 007 ataanzisha.Tukubaliane atakayeanzisha ili mambo yasije gongana.....
sisi ni wapenda maendeleo