Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheheheheeee wallahi moto utawaka kwa Tz hii mpya, angalia jinsi reli za sgr zitakavyotandazwa
Screenshot_2020-09-07-10-57-00.jpeg
 
Uyu mzee sio joker for real....
Na anachowachanganya ccm walaji ni kwamba hayo yaliyo kwenye manifesto anayafanya kweli tofauti na kipindi kile unakuta kilichoandikwa kwenye ilani hakifanyiki japo kwa asilimia 30 lkn huyo mzee atahakikisha hyo ilani japo asilimia zaidi ya 80 anaitekeleza na hyo ndiyo tofauti.
 
Back
Top Bottom