huyo huyo japan [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kibra Ni kibera Kenya sio,msipite bila kutoa pole kwa wakenya afu mkenya mmoja bila aibu eti Tz tunanjaa😂😂 cheki hii tena ya mwaka 2020
Hii kwakweli ni true definition of an infrastructure giant. Lots mbili zilizobakia kwa Phase 1 zinaweza kuunganishwa kwa sababu hata ziko unganisha hazizidi km 400 na ushee.He is not joking ....a real deal[emoji122][emoji122][emoji122]
Huu sioujinga na utahira....2020 hii hapa. [emoji81][emoji102][emoji116]
View attachment 1550187
Link hii hapa
Hunger Map 2020 | World Food Programme
"Dona kantri"
Hapo ndio utajua mropokaji asiye kuwa n uhelewa wowote kweny uchumi ....akipewa nafasi ya kuongea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] wenzio wangekujua wangekupiga mawe mpka ufeIla hayakuhusu. Tukitaka tutapitisha asilimia 100 na hakuna kitu mtafanya. [emoji81][emoji81][emoji81][emoji91]
GoK has spent so far less than $210 mln at Lamu port!Show us how much money per each project under LAPSET is under way apart from Lamu Port which it's value so far is only $500M release by GoK?.
Hivi mnajua jinsi mlivyomasikini?
1)Green field terminal
2)Galana Kulalu irrigation project
3)Laptop per Child
4)Five modern stadia
5)BRT/Light commuter trains
6)Crude oil pipeline
Yote hii miradi ilishindikana kwa kukosa pesa, eti mnajenga miradi ya $25M. Ninyi Hamna uwezo hata kujenga mradi wa $1B, kama kuna mradi wowote nchi yenu imetoa $1B leta ushahidi tuone.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hao Bora waletewe vyakula vilivyokwisha.muda wake au vya mifugo toka ulaya ila sio sisi.. yanayoendelea yanawauma sanahio food wananunua kutoka Tanzania, so basically hio hela tumepewa sisi ili tuwapeleke hao jamaa chakula [emoji23][emoji23]
Wachina wamewafikishia reli hadi Naivasha, Uganda wanawasubiri waifikishe mpakani Malaba ili nao waunganishe hadi Kampala lakini wameshindwa wameamua kuitelekeza porini. Eti miradi ya $25B wakati hata pesa ya kulipa mishahara hawana hadi wakope.GoK has spent so far less than $250 mln at Lamu port!
hua tunaonesha mifano hai kwanza 👇👇
Hawajawahi kufanya mradi kwa pesa ya ndani yn hawa watu hawa ni wapuuzi mno ni ombaomba wa kimataifa, wamezoea msaada mno unajua mabeberu wamewazoesha vby sn wamewajengea kila kitu so now wanatakiwa wajitegemee wanashindwa.yule yule japan [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] mwenye deni kubwa
Watanzania wamefika lini 62M ?acheni porojo za kijingaReally? The number of poor Tanzanians are 4 times that of Kenya
View attachment 1550046View attachment 1550047
Uganda wamempokea Mungu. Awe Mwokozi wa Maisha yao.Hivi,huyu jamaa si ndo alitukejeli?!
Museveni declares August 29 day of National Prayers and public holiday
😅😅😅Sisi tuligundua Hilo mapema tumeishampokeaUganda wamempokea Mungu. Awe Mwokozi wa Maisha yao.
Amina kwa Yoweri.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Waganda ni yule mtoto mbishi wa chini chini.. [emoji16] Halafu akielewa anatekeleza tu kimya kimya.. Safi Sana. Wenzao ni viburi/jeuri na hawaji kufaidi mpaka siku ya idi.[emoji28][emoji28][emoji28]Sisi tuligundua Hilo mapema tumeishampokea