babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,308
- 35,739
Nchi zilizotuzunguka zenye kambi za wakimbizi ziko hatarini kukabiliwa na njaa kasoro wakimbizi walioko Tanzania.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajifurahisha tu mzee.....
kama tuna janga la chakula kwanini wasituletee misaada kama mlivyoletewa huko kenya....?
WFP: Mamilioni ya wakimbizi wapo hatarini kukumbwa na njaa ukanda wa Afrika Mashariki