Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unashikishaje na huna majingjong buda, hta km mbogi ya kushikisha hainitambui lkn sio hvo..
Rieng ya kushikisha man unakosaje majingjong

Heheh .just cheza kama wewe...maweng zipo za kutosha kuweza ji isolate...Tuchapiane uchukue gendi u-come banka hapa.
 
Heheh .just cheza kama wewe...maweng zipo za kutosha kuweza ji isolate...Tuchapiane uchukue gendi u-come banka hapa.
Eeeish!!mi wacha nikadunge shawa, hizo ma risto za kushikisha hapana..

Tutachapiana one day ukikam through msa, ju sioni nikionana na nai this year
 
The Wealthiest City in East Africa

EgcL-1VXkAABjFM.jpg
EgcL-F6X0AEmbYO.jpg
 
Kwanza masansee siku hizi wako rada na hizi ishu za mask, anyway sorry.nimesahau km wewe n mbogi chato..kwnza nikuulize chato huaga mnadunganga ma luku am we ni wa ma trao kolombo za mama kibanda

Haha hatukai na tutu kwa base, hao masansee hawawezi tufikia huku chini ya maji, kwanza vile wako wire tukiwashikisha kidogo wanaplay fair..Tunacheza kimessi. Eh sipo chato bhana..mambo za mnonyi nimewachana nazo ni mwendo wa mavela and mogokaa is my fav.
 
Eeeish!!mi wacha nikadunge shawa, hizo ma risto za kushikisha hapana..

Tutachapiana one day ukikam through msa, ju sioni nikionana na nai this year

..Eeish! Aki na wish kuku join huko....

It will be lovely that day..but waweza come nita sort ku-clear mambo.
 
Back
Top Bottom