Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha kama hizi zinawatesa sana wakenya

1598600714801.png

1598600909928.png
 
Kwa wale wasiojua Isaka - Mwanza
Waangalie hii ramani

View attachment 1550469
Kwa tuliosafiri na hii reli, makutupora mpaka unafika tabora then isaka ni tambarare tu, eneo korofi kidogo ni blonde la ufa napo sio kihivyo.
Umbali wa tabora to isaka ni 130km ni mfupi sana,
Makutupora tu isaka ni pafupi kuliko moro tu makutupora, nahisi hizi phase mbili zilizobaki inaweza kuwa tender moja.
 
Hata Isaka to Mwanza, hakuna eneo korofi. Ni mwendo wa kukimbia tu.
 
Nafikiri hata tbr to kigoma inaweza kuwa ni phase 1. Tukiendelea hivi ujenzi wake Unaweza anza 2023. Bwawa la umeme likiisha kama ilivyopangwa June 2022, nahisi serikali itaongeza kasi ya ujenzi wa reli.
 
Back
Top Bottom