Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

vitendo kwanza👇👇
69806DDA-7313-46C7-B1C5-9DCC21CEAC1C.jpeg
 
Hawajawahi kufanya mradi kwa pesa ya ndani yn hawa watu hawa ni wapuuzi mno ni ombaomba wa kimataifa, wamezoea msaada mno unajua mabeberu wamewazoesha vby sn wamewajengea kila kitu so now wanatakiwa wajitegemee wanashindwa.

Ofcz kenya ndiyo itakuwa nchi ya mwisho Afrika kupata uhuru wa kweli cz ni wazembe mno na wanaitia aibu Afrika.
Wanahitaji kusaidiwa hawajiwezi
 
jaman enh.. angalieni alivyomjibu, sidhan jamaa kama atamnyima JPM hela ya SGR Isaka to Rwanda

kaweka na emoji ya upendo kabsa
Naiona Treni imepaki Bugesera Pale 🙂 hahahah

Wale wengine updated locomotive imekwamia kwenye vijiji vya hapo katikati.. hawataki tena kuendelea!

Huku buraza amempokea Mungu..si muda mrefu atapokea na Treni. Mungu Atambariki.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wachina wamewafikishia reli hadi Naivasha, Uganda wanawasubiri waifikishe mpakani Malaba ili nao waunganishe hadi Kampala lakini wameshindwa wameamua kuitelekeza porini. Eti miradi ya $25B wakati hata pesa ya kulipa mishahara hawana hadi wakope.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu Naivasha Haijafika,im face 2 ya kwao ilikuwa mpaka mpakani lkn waka divert iende Naivasha, Mchina anasua sua kutoa hyo fund kwa sababu haitarudisha faida nzuri.
 
Wachina wamewafikishia reli hadi Naivasha, Uganda wanawasubiri waifikishe mpakani Malaba ili nao waunganishe hadi Kampala lakini wameshindwa wameamua kuitelekeza porini. Eti miradi ya $25B wakati hata pesa ya kulipa mishahara hawana hadi wakope.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
sasa hvi wanafufua reli ya zamani 😂😂😂
 
Back
Top Bottom