Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa Tz hii ni Dar pekee ndiyo maeneo mengi watu wamejenga hovyo wanavyojua wao lkn maeneo mengi nchi hii wamezingatia ramani ya eneo husika mfano nilienda wilayani Liwale mkoani Lindi hebu fikiria ni kijijini kabisa kule lkn watu wamejenga kimitaa yn safi kabisa japo hakuna nyumba kali km za Dar lkn wamejitahidi sana kujenga kwa kufuata ramani View attachment 1545844View attachment 1545845
Hivi Lindi kwa Kenya si kama Eldoret?

Wakenya hawawezi kuwa na mji wa pembezoni umekaa hivi!
Screenshot_20200805-170942.png
Screenshot_20200805-170601.png
2495171_Screenshot_2020-08-23-14-01-23.jpeg


Kenya yote ni slums
 
Juzi Uhuru kujitokeza na kupinga Mapinduzi ya Mali imeonyesha wazi kuwa ana wasi wasi mkubwa wa Mapinduzi dhidi yake.....anajua kabisa ame fail na hata hutuba ya jana iliashiria yote hayo.....Kunya iko katika hali mbaya sana Kiuchumi,na Serkali aina umoja..makamu wa Rais hana joint na Rais..Rao nae ana madaraka makubwa yasiotambulika kikatiba...Kenya imefeli na huu ni wakati mzuri zaidi kwetu sisi....na Kama sio kumpa Rao hako kacheo kasikojulikana Serkal ya Uhuru isingekuepo mpaka sasa....Huu ni mda wa kuwatawala.
Kumbe unaangalia mpka hotuba za uhuru
Sijui lini niliangalia hotuba za chato
 
Eti Kakamega ipo Kisumu. Hahahahaha. Mafala. Eti huduma!? Internet, we kweli. Hii sio Tanzania. Niko Kakamega.
Internet ni 4G. Cha maana nikwamba natumia Village Wifi. As you can see here on my screen shot. When will your village have free WiFi!?
View attachment 1545912
Hahaaaa hey desparate pimbi are you brugging about free wifi?...kwaiyo huwezi jitegemea mpka upate msada bandle?..yet your blaming your gvt for taking loans....naona uko na 4G ...
IMG_20200814_092216.jpg
 
Kama kweli ninyi mnajiamini na nchi yenu, leteni zile counties za mwisho kabisa kimaendeleo na sisi Tanzania tulete mikoa masikini ile ya mwisho kabisa, then tuone nani ana hali mbaya zaidi mara 2000 ya mwenzie
Ndio mlete basi, manake sizijui ndio leo nataka nizijue hzo towns zenu mwitu..
 
Hii picha amepost wanjala imenstua kdg kwn kuna ujenzi unaendelea hapa, je ni ujenzi gn ukiacha hiyo interchange wajuzi mnisaidie hapaView attachment 1545900

hii ni upande ule jiran na mto.. upande huohuo kuna ile site camp/yard ya China Civil (wanaojenga daraja).. hapo pia wanajenga kuta za kukinga mto usiendee kupanuka zaidi kushoto na kulia
 
hii ni upande ule jiran na mto.. upande huohuo kuna ile site camp/yard ya China Civil (wanaojenga daraja).. hapo pia wanajenga kuta za kukinga mto usiendee kupanuka zaidi kushoto na kulia
Dah c mchezo aisee
 
Back
Top Bottom