Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti Kakamega ipo Kisumu. Hahahahaha. Mafala. Eti huduma!? Internet, we kweli. Hii sio Tanzania. Niko Kakamega.
Internet ni 4G. Cha maana nikwamba natumia Village Wifi. As you can see here on my screen shot. When will your village have free WiFi!?
View attachment 1545912
[emoji38] [emoji38] hii simu yako umewasha WIFI na inaonyesha network status, sio zile za za ksh elfu 5 kweli!!!
 
Mbn bando ni bei rahisi sn wanjala, hio free wifi kwa mwalimu km ww huoni unaihujumu nchi yako? Hizo free wifi huku kwetu ni kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo huko
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
Haimaanishi siwezi weka bundles. Kama iwe mtu amekosa. Lakini kila mtu anayo wasiwasi wako ni upi!?
Wanafunzi wa wanayao. Ukiangalia hapa utaona SS MEANS SECONDARY SCHOOL
Screenshot_20200823-152002.png
 
Yako mlitengenezea Moro!? Yani wabongo akili ndo hamna!!!

Bro nonsense ila ushanielewa kuwa Chinese Products are cheap na hiyo alama ya 4G kwa ukubwa huo unamiliki Simu copy ukweli unachoma siijui Simu yako Ila hizi details Ni 90% sure 😂😂 Simu tu inaweza determine Uchumi wako Bwana wanjala🤣🤣
Yako mlitengenezea Moro!? Yani wabongo akili ndo hamna!!!
IMG-20200823-WA0021.jpg
 
Jamani msipite Bila kuangalia hi[emoji1787][emoji1787] Hawa jamaa wana accent ya ajabu sio kiswahili sio English wanayotamba nayo! Anyway hata English hawajua Kenya is just our comedians tu let's make sure we don't miss their joke kucheka nako Afya[emoji23]



[emoji1787][emoji1787][emoji1787].. majamaa zero brain kabisa.
 
Enda ukafunze hiyo kwa wajukuu wako.
Kericho Kenya
Farms owned by Kenyans.
People come together as a village to for a sacco.
Each family donates it's farm.
The sacco builds the tea factories,
The Sacco forms settlement schemes.
The rest of the land is turned to tea plantations.

Isn't Kenya beautiful!?
View attachment 1545893View attachment 1545894View attachment 1545895View attachment 1545896View attachment 1545897
Hao ndio wanagawana hiyo 35% ya ardhi yenye rutuba. Usibishane na mimi hiyo clip ya Video ndio wanefanya research katika hizo nchi kumi za Africa, inawezekana hiyo ripoti ni correct kwa nchi tisa lakini wamekosea kwa Kenya pekee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Enda ukafunze hiyo kwa wajukuu wako.
Kericho Kenya
Farms owned by Kenyans.
People come together as a village to for a sacco.
Each family donates it's farm.
The sacco builds the tea factories,
The Sacco forms settlement schemes.
The rest of the land is turned to tea plantations.

Isn't Kenya beautiful!?
View attachment 1545893View attachment 1545894View attachment 1545895View attachment 1545896View attachment 1545897
Unatuonyesha mashamba ya Unilever...kenya haijawai na kamwe haitalkaa likawa na wakulima wadogo wadogo walioungana na kuuunda mambo ya Ushirika.
 
Back
Top Bottom