Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My Ushago is like a city to you.
Yet this is your advanced cityspare me with that dammy lecture...
JamiiForums-1434813662.jpg
IMG_20200811_190308.jpg
 
Hayo ni maeneo machache wanjala au nikuwekee aerial view ya kakamega ili nikuaibishe?
Usijishughulishe.

Kwani sijui aerial view ya Kakamega!? I stay for now in Kakamega. Kakamega Town has no single untarmacked road.
We unadhani Kakamega ni Kama Dar is Slum!?
Look at this pics if you sport any murram road unishow.

Screenshot_20200822-145649~2.png
Screenshot_20200822-145830~2.png
Screenshot_20200822-145847~2.png
Screenshot_20200822-145943~2.png
Screenshot_20200822-145931~2.png
 
Wanjala bhn, ss hiyo c ni baadhi tu ya sehemu km mnavyofanya mara nyingi kuweka picha moja angle tofauti lkn uki zoom eneo husika ni uchafu kushoto kulia
Nimekupa sehemu nyingi sana tofauti. Usidhani hizo barabara ni sehemu moja. Huoni na kuonyesha hadi vijijini.

Najua huamini. But ndo hivyo.
 
Nimekupa sehemu nyingi sana tofauti. Usidhani hizo barabara ni sehemu moja. Huoni na kuonyesha hadi vijijini.

Najua huamini. But ndo hivyo.
Wanjala kenya eneo kubwa bado ni pori mkuu huwezi kufananisha na Tz hususan Dar, kitu pekee ambacho huwa nakisema humu ni ukweli usiopingika kwamba maeneo mengi ambayo kidogo kenya mmejitahd kujenga mmejenga kwa mpangilio ukiacha maeneo ya slums but Tz wananchi wamejitahidi sana kujenga lkn sio kwa mpangilio mzuri yn wananchi wameachwa wajenge wanavyojua wao kiasi cha kwamba unakuta nyumba nyingi zilizo residential area ni nzr lkn muonekano wake ni mbaya, hili jambo linanikera sn mm ndo mana huwa nasema viongozi waliopita walikuwa ni km wanacheza tu mipango miji wapo na tunawalipa mishahara lkn waliacha wananchi wakajijengea wanavyojua wao yn inakera sana.
 
Back
Top Bottom