joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Usijaribu kudanganya watu, tutaendelea kukudhalilisha mwisho hakuna atakayekuaminiUchungu mbaya
Usijaribu kudanganya watu, tutaendelea kukudhalilisha mwisho hakuna atakayekuaminiUchungu mbaya
Lissu is alive while this guy is dead with nor answer.ina ingiaje hapa kwenye kulinganisha maendeleo.hivi inapishana na kisa cha LISU nabupigeajwi risasi.
Wanjala anapenda sana kuharibu heshima yake. Oh kakamega sijui uchafu gani anongelea hapa.View attachment 1545685View attachment 1545687



I hope now you know that my villages are better than your cities.Acha kujivunjia heshima kaa kimya.😁😁😁
Hahahaha Tanzanians.It seem your city is too far from big thingsjust to show a fewView attachment 1545790View attachment 1545791View attachment 1545793View attachment 1545795View attachment 1545796View attachment 1545801View attachment 1545802
Hapo co Europe hapo ni Dar kama DarI hope now you know that my villages are better than your cities.




0.2% ya Kenyans ni wazungu, sawa na 103,000
65% ya ardhi nzuri yenye rutuba ipo mikononi mwa wazungu 36 pekee
Wacha kudanganya watu
Kwa leo umehangaika. Ulidhani Kenya ni Nairobi tu. Hii Kakamega wapi hebu nielimishe!? Maana mimi mkaazi na sipajui.


Juzi Uhuru kujitokeza na kupinga Mapinduzi ya Mali imeonyesha wazi kuwa ana wasi wasi mkubwa wa Mapinduzi dhidi yake.....anajua kabisa ame fail na hata hutuba ya jana iliashiria yote hayo.....Kunya iko katika hali mbaya sana Kiuchumi,na Serkali aina umoja..makamu wa Rais hana joint na Rais..Rao nae ana madaraka makubwa yasiotambulika kikatiba...Kenya imefeli na huu ni wakati mzuri zaidi kwetu sisi....na Kama sio kumpa Rao hako kacheo kasikojulikana Serkal ya Uhuru isingekuepo mpaka sasa....Huu ni mda wa kuwatawala.Hatua alizochukua uhuru kupambana na covid-19 ni km mamluki na wala co mkenya mzalendo aisee, yn hatua alizochukua ni km ana visasi na Wakenya, hatua alizochukua uhuru hakuna nchi yoyote duniani iliyochukua yn kenya itaharibika mno na wasipoangalia wanaingia tena kwenye vita na safari hii hakuna wa kuwaamua tutawaacha wachinjane km Rwanda ili cc tukawatawale isitoshe baba yao msuluhishi wao ameshakufa na hawajaja kumzika we ngojea muone laana itakayowapata soon.
Hii hapaKwa leo umehangaika. Ulidhani Kenya ni Nairobi tu. Hii Kakamega wapi hebu nielimishe!? Maana mimi mkaazi na sipajui.






Kama hupajui ....mm siyo instructor sorry...mnakaa ushagoo na mko na kelel mingi..Kwa leo umehangaika. Ulidhani Kenya ni Nairobi tu. Hii Kakamega wapi hebu nielimishe!? Maana mimi mkaazi na sipajui.



Eti Kakamega ipo Kisumu. Hahahahaha. Mafala. Eti huduma!? Internet, we kweli. Hii sio Tanzania. Niko Kakamega.Mm napotoka haikusu sababu utapat headech tu....Kwaiyo icho kipande cha double road ndio kimeku changany....tunajua kakamega ipo kisumu so sitashanga ikiwa ni vibanda kama hivyo viwil vitatu....kwani nyie water; internet na electricity ni tabu sana...mpka unajisifia utafikiri umeshika jiwe la tanzanite...aaah kumbe mko na shida sana kupat hizo huduma
Hizi ni roads za makambako.....sijui unakingineView attachment 1545765View attachment 1545781
Raisi hata ofisi za serikali hazijui kwa majina, sawa sawa na Magufuli aseme PSPF badala ya TRA ametia aibu sn aiseeJuzi Uhuru kujitokeza na kupinga Mapinduzi ya Mali imeonyesha wazi kuwa ana wasi wasi mkubwa wa Mapinduzi dhidi yake.....anajua kabisa ame fail na hata hutuba ya jana iliashiria yote hayo.....Kunya iko katika hali mbaya sana Kiuchumi,na Serkali aina umoja..makamu wa Rais hana joint na Rais..Rao nae ana madaraka makubwa yasiotambulika kikatiba...Kenya imefeli na huu ni wakati mzuri zaidi kwetu sisi....na Kama sio kumpa Rao hako kacheo kasikojulikana Serkal ya Uhuru isingekuepo mpaka sasa....Huu ni mda wa kuwatawala.



Mbn bando ni bei rahisi sn wanjala, hio free wifi kwa mwalimu km ww huoni unaihujumu nchi yako? Hizo free wifi huku kwetu ni kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo hukoEti Kakamega ipo Kisumu. Hahahahaha. Mafala. Eti huduma!? Internet, we kweli. Hii sio Tanzania. Niko Kakamega.
Internet ni 4G. Cha maana nikwamba natumia Village Wifi. As you can see here on my screen shot. When will your village have free WiFi!?
View attachment 1545912




My Ushago is better than your citiesKama hupajui ....mm siyo instructor sorry...mnakaa ushagoo na mko na kelel mingi..![]()
Haaaahaaaa desparate manHahahaha Tanzanians.
This is your City,
View attachment 1545885
This is our village.
Kisii
View attachment 1545886
View attachment 1545887




..for the record i dont reply to kisii thing , just show you Ubungo where that interchange is constructed...We huoni kama huu ni uchafu? Hebu taja jina nikuvue nguo taja jina la hiyo sehemu nizoom tafadhaliMy Ushago is better than your cities
View attachment 1545916



Jamani, yani huoni hata aibu