Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ss cc hatupo hvyo ndo mana tunawashangaa, cc co wanyama km ninyi, mTz wa Dar akickia mTz wa Lindi hajalipwa pesa yake ya korosho roho inamuuma na lazima aseme tofauti na nyie ni wabinafsi sana mara nyingi humu kina teargass wamekuwa wakiiponda Mombasa as if haipo kenya nawe pia mara nyingi umekuwa ukiikataa nairobi, kwa style hyo msitegemee kuungana na Tz eti EAC never, yn mtuletee ufalamanga wenu I reiterate never!!!!
Miaka miwili sasa kuhusu sakata la korosho, mliandama mara ngapi
 
Manake niseme hutaki kuacha ujinga ni,
Hii ni Bukhungu Stadium some few years ago.
View attachment 1545724
Now Bukhungu is under construction to be an international stadium.
View attachment 1545725View attachment 1545726
So next year tukipost Bukhungu, Wewe utashinda na hiyo picha ya kitambo!?

Hata mimi nikipost picha toka Dar, huwa nachukua latest. Sababu hiyo ndiyo uhalisia.
Kakamega before devolution was like this
View attachment 1545727
But now there is order. Same to all regions of Kenya that have changed the last 10 years after devolution.
Kakamega sahi hamuwezi.
View attachment 1545730View attachment 1545731View attachment 1545732View attachment 1545733View attachment 1545734View attachment 1545737
Acha kujivunjia heshima kaa kimya.😁😁😁
 
Hatua alizochukua uhuru kupambana na covid-19 ni km mamluki na wala co mkenya mzalendo aisee, yn hatua alizochukua ni km ana visasi na Wakenya, hatua alizochukua uhuru hakuna nchi yoyote duniani iliyochukua yn kenya itaharibika mno na wasipoangalia wanaingia tena kwenye vita na safari hii hakuna wa kuwaamua tutawaacha wachinjane km Rwanda ili cc tukawatawale isitoshe baba yao msuluhishi wao ameshakufa na hawajaja kumzika we ngojea muone laana itakayowapata soon.
 
Hatua alizochukua uhuru kupambana na covid-19 ni km mamluki na wala co mkenya mzalendo aisee, yn hatua alizochukua ni km ana visasi na Wakenya aisee, hatua alizochukua uhuru hakuna nchi yoyote duniani iliyochukua yn kenya itaharibika mno na wasipoangalia wanaingia tena kwenye vita na safari hii hakuna wa kuwaamua tutawaacha wachinjane km Rwanda ili cc tukawatawale mama baba yao msuluhishi wao ameshakufa na hawajaja kumzika we ngojea muone laana itakayowapata soon.
Wakenya wameanza kutambua hilo na ndio maana wale waliokuwa wanamkejeli JPM sasa hivi akili zao zimeanza kurudi na kuona kuwa JPM alikuwa sahihi kutosumbua raia,

Hii thread kwa link ilifunguliwa na mkenya aliyeanza kujitambua na kuona kuwa mbinu ziilizochukuliwa na uhuru hazikuwa nzuri kwa wananchi wa kenya.

Rais Magufuli alichukua hatua mzuri ya kutofunga uchumi Tanzania
 
hapa nakuunga mkono
Mwengine huyo apo kakubali Tz hamna corona
Wakenya wameanza kutambua hilo na ndio maana wale waliokuwa wanamkejeli JPM sasa hivi akili zao zimeanza kurudi na kuona kuwa JPM alikuwa sahihi kutosumbua raia,

Hii thread kwa link ilifunguliwa na mkenya aliyeanza kujitambua na kuona kuwa mbinu ziilizochukuliwa na uhuru hazikuwa nzuri kwa wananchi wa kenya.

Rais Magufuli alichukua hatua mzuri ya kutofunga uchumi Tanzania
 
One street village
anza hapa kwanza 👇👇👇👇
673BA096-886D-42E3-AF6E-B5D0A9D7115A.jpeg
 
Kwa Tz hii ni Dar pekee ndiyo maeneo mengi watu wamejenga hovyo wanavyojua wao lkn maeneo mengi nchi hii wamezingatia ramani ya eneo husika mfano nilienda wilayani Liwale mkoani Lindi hebu fikiria ni kijijini kabisa kule lkn watu wamejenga kimitaa yn safi kabisa japo hakuna nyumba kali km za Dar lkn wamejitahidi sana kujenga kwa kufuata ramani
Screenshot_2020-08-23-14-01-23.jpeg
Screenshot_2020-08-23-14-01-39.jpeg
 
Back
Top Bottom