Mwangu idea safi sana....nimeikubaki billion 30 ni kubwa inakupa uwanja hata wa 40,000 seats which ni sawa na stamford kasoro utakosa facilities muhimu za ndani which uta upgrade kidogo...idea nyingne nzuri ni kama ile iliyotumika kujenga Kigamboni bridge....Unawaftwata Pspf au nssf wanajenga uwanja ..wanaumiliki wao mpka muda hela yao ikirudi then uwanja wao..in return yanga wana advertise nssf na waanahakikisha wanachama wao wako nssf au pspf ..Bil 30-40 pesa ndogo na Yanga wana mashabiki wakutosha kujaza uwanja mechi za home