Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 526
- 1,426
i know urs contributing loss and eating tax payers money 😂😂👇👇👇
[/QUOTE]
Ebwana mtungi wa chang'aaa
[/QUOTE]
Ebwana mtungi wa chang'aaa
Wame halalisha kupumuliana.huyu jamaa mfupi wa sauti sol nilikuwa nafikiriaga pengine ni gay (shoga) .. ikabidi hili jambo nikalo mwenyewe moyoni .. leo wamepost hii picha.. napata wasiwasi na maswali zaidi
View attachment 1542272
[emoji23][emoji23][emoji23]Kenya ni Somalia iliyochangamka
Matatizo matupukama kawa [emoji116][emoji116][emoji116]
Ni njaa imekuwa kali wakaamua kuzugia Twiga.sikizeni hzi mbuzi [emoji116][emoji116][emoji116]
Akisoma hiyo makala atazimiahatuskii mkiumba tena GDP na millionares na wakat nakumbuka ilikua haipiti page lazma tuskie huo wimbo [emoji23][emoji23][emoji23]
na kama ulikua hujui hawa ni forbes sio mm [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
TANZANIA IS AHEAD OF SCHEDULE
na kwa taarifa fupi tanzania is now official middle income hope volume is ok [emoji23][emoji23] wimbo wa LDC umeisha kwa sasa
Majengo kama haya yanahitajika zaidi nyerere road...dah i can't wait for brt phase 3
Mpango wetu wa Uchumpi sio wa Kikwete ni Mkapa na utakoma 2025Forbes are right, wanapeana maoni yao in relarion na matarajio ama projection yenye Tz had. So wako sahihi kusema "...ahead of schedule". My argument sio kazi ya four years ya Magufuli., yeye ameshikilia tu uchumi vizuri which maintained the momentum yenye was set by Kikwete's regime., na imemusaidia to build on it bu expanding infrastructure which is yet to yield dividents to the economy. No wonder bado poverty ni ile ile mitaabi na mashinani., lakini ni muda tu itapungua if people on individual basis wata dandia opportunities availed by expanding economy. Roger that?
Hujui uchumi ww hai contribute kvp au kwenye ile equation ya GDP hujui G inamaanisha nn.Under construction., not yet contributing to GDP., kweli uko down kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
duuuh...!!!Na wewe did you watch the posted videos?, ama uchochole pia wewe unakutesa?., cant afford sufficient data to view video clips., 2020.