Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Those who were thinking this thing will not happen wajionee. Sasa wake na longolongo. The first most expensive ppp investment in Africa.
The Nairobi Express way
IMG_20200819_121249.jpg
 
Now that there is no any other town or city in Tanzania with a building over 20 floors. Therefore. It is not very wrong to compare Dar es Salaam to Eldoret Town.
Screenshot_20200818-193259.png
Screenshot_20200818-192300.png
 
Kwani kila alienda shule anajua English huko Kenya? Tena huyo anawakilisha 95% ya wakenya sababu BBC wenyewe wanasema English speakers huko hawazidi million 3
Hehehe!!unajiumiza bure tu, huyo mama hajasoma..ni kingereza tu ana force, wajaluo bana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mda mrefu pako hvyo con hata pillar moja kuinuka why?
Magu akijibu hyo tunampa nyundo ingine ya nairobi nakuru, akijaribu tunammalizia ya mombasa nairobi..
Hapana cheza na nyangau wewe, wanasiasa wanaiba kidogo wakiona kuna kannchi kameanza kuleta zarau wanapigilia msumari
 
Vipi mmeshalipa brt?
 
sasa unasemaje mnakijua kiswahili kukitamka kama mnaelewana wazee wa slums pekee yenu!!!!

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
Kuna tofauti ya kutamka maneno na kushindwa kutamka herufi..
Tatizo mnajitia kujua kila kitu wakati wabongo mna matatizo lukuki likija swala la uongeaji wa kiswahili..
Tena tuache mikoani, hapo hapo dar tu ukikutana nao utacheka hadi upaliliwe
 
nimeikuuliza uliyeandika"MUKUJE"ukialika wenzako umepatia nini katika kiswahili???

na unawatahini wa tz kwa matumizi ya kiswahili ukirejea waongeaji kutokea wapi???

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom