Jamani jamani Wakenya nawapeni siri huyu mzee wala hawafikirii nyie kwenye level ya maendeleo bali anawaza Europe yn hata km haitakuwa km Europe ila kuwe na mfanano yn anataka Tz iwe Europe ya Afrika so kuweni makini cz awamu inayofata anamaliza mchezo kabisa.BRT phase 2 Updates on the Right.
View attachment 1542156
View attachment 1542157
View attachment 1542158
View attachment 1542159
Ya kwamba wewe unatembelea mtumbambona hujibu basi
Umia kabisa[emoji23][emoji23]Naona lingine lipo kwa mbaalii pale wanasafisha kutu zen walipakie kwenye meli safari kwa dampo [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkimaliza kuwaza mafisadi wanajishtukia wanautekeleza huu mradi[emoji116][emoji116][emoji116]Now tunawaza MRT next year, yn Kenya kwakweli mtapata tabu sana ktk uongozi wa huyu mzee[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂 Huwa wanawawekea renders tofauti na actual projects. Hapo treni ni za Umeme ila zinazokuja Mungu Ndio anajua 😆Mkimaliza kuwaza mafisadi wanajishtukia wanautekeleza huu mradi[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1542229
Usichojua ni kwamba mTz ana uwezo mkubwa wa kukichezea kiswahili atakavyo cz ni lugha yake kiasili, hata mm hapa nikiamua kuongea kiswahili changu cha mtaani hutaelewa hata neno moja ww labda utakuwa unakisia kisia tu.
Airport yenyewe haipo. Mbona mnakubali kudanganywa!?Mkimaliza kuwaza mafisadi wanajishtukia wanautekeleza huu mradi[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1542229
Jamani jamani Wakenya nawapeni siri huyu mzee wala hawafikirii nyie kwenye level ya maendeleo bali anawaza Europe yn hata km haitakuwa km Europe ila kuwe na mfanano yn anataka Tz iwe Europe ya Afrika so kuweni makini cz awamu inayofata anamaliza mchezo kabisa.
Heheheheheeee yn hapo huna haja ya kubanana kwenye madala dala ni unarukia brt cz phase zote 5 zikiisha it means popote ulipo brt ipo na kwa jinc networks za brt zitakuwa nyingi it means kutakuwa hakuna kujazana kwenye basi cz utaamua upande dala dala au uchukue brt [emoji3][emoji3] dk 5 umefika unakwea electric train yako 1hr upo moro unapiga kazi zako jioni unarudi, alafu wakati huo ule mpango wa elevated MRT utakuwa unaendelea it means kutakuwa na usafiri wa uhakika.
Tunawakaribisha Wakenya mje kujifunza tumewezaje kufika hapa kwa muda mfupi hv ila mcsahau kwmb hamtaweza kufika hapa leo wala kesho cz hamna msuli nchi yenu maskini, so komaeni na barabara za mkopo mkishindwa kulipa mkopwe nyie wenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23] wape bakora baba[emoji23][emoji23] wakashindane na UG uko!Jamani jamani Wakenya nawapeni siri huyu mzee wala hawafikirii nyie kwenye level ya maendeleo bali anawaza Europe yn hata km haitakuwa km Europe ila kuwe na mfanano yn anataka Tz iwe Europe ya Afrika so kuweni makini cz awamu inayofata anamaliza mchezo kabisa.
Heheheheheeee yn hapo huna haja ya kubanana kwenye madala dala ni unarukia brt cz phase zote 5 zikiisha it means popote ulipo brt ipo na kwa jinc networks za brt zitakuwa nyingi it means kutakuwa hakuna kujazana kwenye basi cz utaamua upande dala dala au uchukue brt [emoji3][emoji3] dk 5 umefika unakwea electric train yako 1hr upo moro unapiga kazi zako jioni unarudi, alafu wakati huo ule mpango wa elevated MRT utakuwa unaendelea it means kutakuwa na usafiri wa uhakika.
Tunawakaribisha Wakenya mje kujifunza tumewezaje kufika hapa kwa muda mfupi hv ila mcsahau kwmb hamtaweza kufika hapa leo wala kesho cz hamna msuli nchi yenu maskini, so komaeni na barabara za mkopo mkishindwa kulipa mkopwe nyie wenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]
Huo mradi bado upo akilini mwao, lkn kw sasa wanawaza wataiba shingapi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huwa wanawawekea renders tofauti na actual projects. Hapo treni ni za Umeme ila zinazokuja Mungu Ndio anajua [emoji38]
Ngoja wamalize kuiba kwanza, wakitosheka ndio mtatajua hamjuiAirport yenyewe haipo. Mbona mnakubali kudanganywa!?
Yn Kenya ndo iitishie Tz [emoji3][emoji3][emoji3]Ngoja wamalize kuiba kwanza, wakitosheka ndio mtatajua hamjui
Nyinyi ndio mnatishika, statistics zinaonyesha huaga mnatuwaza sanaYn Kenya ndo iitishie Tz [emoji3][emoji3][emoji3]