Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
acha wivu bro yani maneno yote yanaoneaha wivu na husda juu๐๐๐ yani magu kawakuna hamuna hata hamu nae
Hakuna wivu, ni wewe haupendi kukosolewa ama ukweli, hua unalazimisha kushinda mjadala wala si kupata ukweli, uko na matatizo ya ego tu๐๐๐ lazima utatafuta vijisababu just to appear on top, nakuelewa vizuri bro๐๐๐๐๐๐๐๐ usihame JF, unachangamsha uzi na your undying zeal for Tz., it clouds your judgment though..,