Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi mmeshalipa brt?
[emoji23][emoji23][emoji23]
WamOHSOOn5X2znnQ3BHrMCt9txhrqhWmW_ZgBfdxewBThzEilPwMhIuN-nXcOTZl8MF99b-ufspeVP0ALVMzBdCNcrQE6w...jpg
 
Kuna tofauti ya kutamka maneno na kushindwa kutamka herufi..
Tatizo mnajitia kujua kila kitu wakati wabongo mna matatizo lukuki likija swala la uongeaji wa kiswahili..
Tena tuache mikoani, hapo hapo dar tu ukikutana nao utacheka hadi upaliliwe
Usichojua ni kwamba mTz ana uwezo mkubwa wa kukichezea kiswahili atakavyo cz ni lugha yake kiasili, hata mm hapa nikiamua kuongea kiswahili changu cha mtaani hutaelewa hata neno moja ww labda utakuwa unakisia kisia tu.
 
Back
Top Bottom