Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

24F8BE90-5374-472D-BB76-576EB53287A5.jpeg
 
Hahaha nani kaongelea slums? Mbona mnajishuku? [emoji81][emoji81][emoji81]

Nimeweka kuonyesha jinsi kijiji chenu hakijapangwa. Kumetapakaa tuu. Halafu eti NAIROBI tujifunze kutoka kwenu? [emoji81][emoji81][emoji81] nimecheka sana

Jiji linapangwa kwa kasi ya mwanga, DMDP ni habari nyingine naamini hayo maeneo ulijayaona baada ya picha za satellite kuwa updated utashangaa mzee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anavyosema Tanzania ni tajiri akijiamini watu wanadhani anatania [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ujinga wa watu wengi kutokuamini....Urais ni nafasi pekee ambayo unapata nafasi ya kuiona Nchi na Utupu wake,taarifa zote za Nchi Rais hizipata kwa haraka kuliko mtu yoyyote......Akisema sisi ni Matajiri ana HAKIKA. Akisema tutakuwa km Ulaya ni HAKIKA.
 
This is not TRUE. Everyone on this forum should ignore this stupid map. He brings it here to make kenyans feel better but he cannot even tell us the source of it. I did some digging and found out that he got it from Reddit, a social media account [emoji23][emoji23][emoji23]

Anajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Kenyans!!!!!! Come take your illiterate fucks out of here! Kenyan English and Tanzanian English are like British and American English?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oh you have made my day! Kwa American English/ British English gani mliyonayo? English yenu mnachanganya na kiluo, kikuyu sijui na madudu gani tena...now you are giving it high standards? [emoji23][emoji23][emoji23] The internet is the world’s largest library mate. If Dar had slums, positive search results would have prompted on my cellphone, but they didn’t.

Hawana namna tu wangekuwa na uweza wangeweka kwa GOOGLE kuwa tuko na slam but wanaishia kwa website zao uchwara [emoji23]
 
Back
Top Bottom