Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

HONEST OPINION WITHOUT BIAS OR FAVOR:

NBO takes the crown in category1, 2,3,4,7,8,9,10,11,12,13,14 and 15.

Dar narrowly beats NBO in categories 5 and 6.

Argue with your mothers.
You always argue with your yourself that’s why you made this deduction😂😂😂
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

NAIROBI BABA LAO!!

Yani kila kitu atapost mkenya humu wala usipate shida we ingia Google Earth ucheke mana huwa wanapiga picha upande upande ili uone wako vzr, mfano hyo great wall garden jinc walivyoweka hapo unaweza sema labda ni eneo kweli kumbe nyumba zenyewe tatu tu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

Eneo kubwa ni pori
Screenshot_2020-08-18-13-39-47.jpeg
 
Yani kila kitu atapost mkenya humu wala usipate shida we ingia Google Earth ucheke mana huwa wanapiga picha upande upande ili uone wako vzr, mfano hyo great wall garden jinc walivyoweka hapo unaweza sema labda ni eneo kweli kumbe nyumba zenyewe tatu tu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

Eneo kubwa ni poriView attachment 1541049
IMG_20200809_023010.jpg
 
We nae nshakusoma na nshakutoa vyeo mana unaongea kitu ambacho huna uhalisia hebu weka hzo picha tuone mana me mpk ss naona tuko mbele sn na nmeshaanza kuona Tz inajikosea heshima kushindana na kenya.

Hahaha relax budaa..
 
Hiyo ndo raha tulionayo...Rasilimali nyingi ya kwetu ilikuwa bado haijafichuliwa......Asante Mungu ,Tuna JPM na mikataba dhabiti.....ni kwa nini tusiwe kama Ulaya???

Anavyosema Tanzania ni tajiri akijiamini watu wanadhani anatania [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom