Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Someone here used to be stubborn about this road. Eti sidewalks side moja. Anaambiwa road bado under construction hasikii. Ndiyo hiyo sidewalks zaendelea kuwekwa.
View attachment 1536806
View attachment 1536804
Hahahaha
2486133_IMG_20200814_110903~4.jpg
2486133_IMG_20200814_110903~3.jpg
 
Shule ulikwenda kucheza mpira na kunywa maziwa ya mzee Moi tu, hata Geography hujui, Arusha na TAZARA wapi na wapi?. Hiyo reli ya Arusha ilijengwa na Wajerumani.

Zaidi ya hii reli yenu ya wachina, hamna reli inayofanya kazi huko Kenya, RVR ilishajifia muda mrefu, nini bibi kikongwe, inajikongoja, wajanja wanaitumia kwa kuiba pesa tu.
Mkenya wa kawaida hajui lolote kuhusu Tanzania.
 
Shule ulikwenda kucheza mpira na kunywa maziwa ya mzee Moi tu, hata Geography hujui, Arusha na TAZARA wapi na wapi?. Hiyo reli ya Arusha ilijengwa na Wajerumani.

Zaidi ya hii reli yenu ya wachina, hamna reli inayofanya kazi huko Kenya, RVR ilishajifia muda mrefu, nini bibi kikongwe, inajikongoja, wajanja wanaitumia kwa kuiba pesa tu.
Rvr pia inafanya kazi. Hata laini kutoka Nairobi hadi Nanyuki imeanza kufanya kazi juzi. Kama unapinga sema nikupe evidence
 
Back
Top Bottom