Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Kwani mna reli tatu? Ya Arusha, Kigoma na Tazara?
Kwani mna reli tatu? Ya Arusha, Kigoma na Tazara?
hii ni awamu ya tano na awamu hii sio awamu kama zilizopita my friend nyinyi wenyewe simumeona kwenye madini palivo pamoto na huku ni pamoto zaidi sasa😂😂 na kwa taarifa fupi tu nikupe kua reli ya MGR inaganya kazi sehemu zifuatazoNyie ni wajinga na wazembe sana. Eti hii reli matumizi yake yalisitishwa miaka 30 zilizopita, yaani mwaka wa 1990. Reli ambayo wachina waliwapa 1975 ikiwa mpya lakini baada ya miaka 15 mkawa mumeiharibu kabisa hadi ikafungwa. Waafrika wa aina hii hawawezi kulinda miundo mbinu. Kazi yao ni kuharibu tu. Mafala sana nyie. Sisi reli yetu ambayo ina zaidi ya miaka 118 bado inafanya kazi. Huku pia tuna reli mpya na itakaa kwa miaka mia moja zijazo. Wacheni kuharibu vitu kwa sababu hamutaki kurepair reli au treni zilizoharibika. Mnataka wachina wawafanyie kila kitu?
hapo umeingia kwenye county zingine sasa 😂😂😂 naona thika etc yani nairobi ilivo ndogo umeona uingie na county zingine sasaNairobi as administrative location is smaller than Dar. However, Nairobi Metropolis has the largest metropolitan area in Sub Saharan Africa. Which is about ten times bigger than Dar.
Sometimes people use Nairobi administrative area to compare with other cities. However if the Metropolitan area is used, Nairobi can only be rivaled by Jorhansburg in SA
From Kijabe to Kajiado is Over 200 Km
View attachment 1536768
Pic sample of this stretch
View attachment 1536769
View attachment 1536770View attachment 1536771
from Thika to Kiserian. Is about 70KM
View attachment 1536772
Some shots on the stretch
View attachment 1536773View attachment 1536777
soma map umeekewa hapo mbuzi wewe😂Kwani mna reli tatu? Ya Arusha, Kigoma na Tazara?
Basi mna reli Mgr kilomita nyingi kutushinda. Lakini nashuku ruti zingine hazifanyi kazi kwa uzembe wenu wa kutorekebisha reli inapoharibika.soma map umeekewa hapo mbuzi wewe😂
Yani wewe jamaa ujinga utakuua.Basi mna reli Mgr kilomita nyingi kutushinda. Lakini nashuku ruti zingine hazifanyi kazi kwa uzembe wenu wa kutorekebisha reli inapoharibika.
Acha unyang'au reli hii imekuepo tangu 1927 na ni ile ambayo mlikuwa na tawi kupitia voi mpaka mombasa...chunguza na uache unyang'au.Nyie ni wajinga na wazembe sana. Eti hii reli matumizi yake yalisitishwa miaka 30 zilizopita, yaani mwaka wa 1990. Reli ambayo wachina waliwapa 1975 ikiwa mpya lakini baada ya miaka 15 mkawa mumeiharibu kabisa hadi ikafungwa. Waafrika wa aina hii hawawezi kulinda miundo mbinu. Kazi yao ni kuharibu tu. Mafala sana nyie. Sisi reli yetu ambayo ina zaidi ya miaka 118 bado inafanya kazi. Huku pia tuna reli mpya na itakaa kwa miaka mia moja zijazo. Wacheni kuharibu vitu kwa sababu hamutaki kurepair reli au treni zilizoharibika. Mnataka wachina wawafanyie kila kitu?
najua huwez kuamini na zote zinafanya kazi 😀😀😀Basi mna reli Mgr kilomita nyingi kutushinda. Lakini nashuku ruti zingine hazifanyi kazi kwa uzembe wenu wa kutorekebisha reli inapoharibika.
Na hio Tazara iko karibu sana na Mozambique, mbona Mozambique hawajaunga reli yao kwa Tazara?Yani wewe jamaa ujinga utakuua.
Kipande kilichozinduliwa ni Moshi - Arusha.
Network ya Railway Tanzania ni kubwa mno.
Bado ile ya mtwara to Mbamba bay.
View attachment 1536794
Lini reli yetu iliungana na yenu?Acha unyang'au reli hii imekuepo tangu 1927 na ni ile ambayo mlikuwa na tawi kupitia voi mpaka mombasa...chunguza na uache unyang'au.
What? 😂😂😂😂Tazara ipo karibu na Mozambique?Na hio Tazara iko karibu sana na Mozambique, mbona Mozambique hawajaunga reli yao kwa Tazara?
Na bado mbona nyie masikini wa kutupwa? Bado hamna viwanda licha ya kuwa na reli kilomita nyingi tu. Uzembe.
Kulingana na hio map fake iliyowekwa na Venus StarWhat? 😂😂😂😂Tazara ipo karibu na Mozambique?
Acha ujinga wewe. Tazara kirefu chake ni TANZANIA - ZAMBIA RAILWAY.Na hio Tazara iko karibu sana na Mozambique, mbona Mozambique hawajaunga reli yao kwa Tazara?
Lini reli yetu iliungana na yenu?