Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie watu mna reli kilomita nyingi kushinda nchi yoyote Afrika Masharika lakini hamna viwanda hata kidogo. Uzembe uliotukuka.
 
Na hio Tazara iko karibu sana na Mozambique, mbona Mozambique hawajaunga reli yao kwa Tazara?
Jifunze Jiografia. TAZARA
images - 2020-08-14T111726.931.jpeg
 
Nyie ni wajinga na wazembe sana. Eti hii reli matumizi yake yalisitishwa miaka 30 zilizopita, yaani mwaka wa 1990. Reli ambayo wachina waliwapa 1975 ikiwa mpya lakini baada ya miaka 15 mkawa mumeiharibu kabisa hadi ikafungwa. Waafrika wa aina hii hawawezi kulinda miundo mbinu. Kazi yao ni kuharibu tu. Mafala sana nyie. Sisi reli yetu ambayo ina zaidi ya miaka 118 bado inafanya kazi. Huku pia tuna reli mpya na itakaa kwa miaka mia moja zijazo. Wacheni kuharibu vitu kwa sababu hamutaki kurepair reli au treni zilizoharibika. Mnataka wachina wawafanyie kila kitu?
Shule ulikwenda kucheza mpira na kunywa maziwa ya mzee Moi tu, hata Geography hujui, Arusha na TAZARA wapi na wapi?. Hiyo reli ya Arusha ilijengwa na Wajerumani.

Zaidi ya hii reli yenu ya wachina, hamna reli inayofanya kazi huko Kenya, RVR ilishajifia muda mrefu, nini bibi kikongwe, inajikongoja, wajanja wanaitumia kwa kuiba pesa tu.
 
Someone here used to be stubborn about this road. Eti sidewalks side moja. Anaambiwa road bado under construction hasikii. Ndiyo hiyo sidewalks zaendelea kuwekwa.
IMG_20200814_110903.jpg

IMG_20200814_110853.jpg
 
Back
Top Bottom