Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Ninyi endeleeni kubugizwa takataka za pumba zenye ladha ya maziwa na uhuru mkijidanganya mnakunywa organic milk, kumbe mnakunywa maharage ya soya. 🚮🚮🚮🚮Ile siku utajua maana ya design capacity na demand capacity ndio utaelewa hayo mambo

