Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna jamaa amenibishia humu kwamba,Kenya meat commission ndio kubwa,baada ya kumdhibitishia,amepotea, yaani,Athi river na Mombasa plants,Inachinja na kuchakata ngo'ombe,mbuzi na kondoo 3,250 tu kwa siku,wakati yetu ya TZ ni 5,500 kwa siku kwa aina ya mifugo yote!
Hzo ni assumptions tu, lkn kw ground hyo idadi haifiki
 
Mimi sio mjinga Kama wewe,huwa na argue na facts na sio kujaza server,wewe leta ushahidi kupinga argument yangu.sina mda wa kujibizana na jinsia yenye tundu moja katikati. I warn you once again,usijaribu kuni quote Kama huna facts please!
 
So facts ni twitter sio, hahahaa!!naona umetema povu sana..
Lkn ujue ukwel ndio huo, hyo tweet uliyoleta kw sasa hzo ni numbers tu wameweka, rudi ile siku hicho kichinjio kitaanza kushughulikia hyo idadi km ilivyotajwa
 
Tujiulize hv hii reli kwa miaka yote 20 ambayo haikua ikifanya kazi tumepoteza kiasi gani!!Sawa imefufuliwa ni jambo la kheri ufanisi wake Ni kitu cha kulindwa sana,Tusiwe watu tunaoharibu alafu tukirekebisha tunajipongeza tena kama mazuzu
ni kweli kabisa,tumepoteza sana mapato ..
 
Sgr ni upana wa reli na sio train. Wewe ni mshamba sana. Kuna Sgr ya diesel na kuna Sgr electric lakini zote ni sgr. Kama hujui Sgr ina maana gani sema uelezewe.
Zamani ndio walikua wanatumia kigezo cha upana wa reli wakimaanisha SGR, lakini siku hizi neno SGR limebeba maana tofauti, ukisema SGR watu wanategemea kuona " Very modern, electric. Fast and very Comfortable train", sio huo ushuzi wenu.
 
IMG_5144.jpg
 
Kuna jamaa amenibishia humu kwamba,Kenya meat commission ndio kubwa,baada ya kumdhibitishia,amepotea, yaani,Athi river na Mombasa plants,Inachinja na kuchakata ngo'ombe,mbuzi na kondoo 3,250 tu kwa siku,wakati yetu ya TZ ni 5,500 kwa siku kwa aina ya mifugo yote!

Hapo bado hujaweka kilichopo Dar vingunguti kimeanza kazi recentry ni soo kubwa
 
Zamani ndio walikua wanatumia kigezo cha upana wa reli wakimaanisha SGR, lakini siku hizi neno SGR limebeba maana tofauti, ukisema SGR watu wanategemea kuona " Very modern, electric. Fast and very Comfortable train", sio huo ushuzi wenu.
Unapingana na facts? Saa zingine huwa sikuelewi. Facts ni facts na wewe huwezi kuibadilisha.

Standard-gauge railway - Wikipedia
 
Back
Top Bottom