mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
๐๐๐๐๐๐ Hii ndio CBD?Chukua kariakoo cbd cyo level yenu.....View attachment 1533752View attachment 1533753View attachment 1533754View attachment 1533755
๐๐๐๐๐๐ Hii ndio CBD?Chukua kariakoo cbd cyo level yenu.....View attachment 1533752View attachment 1533753View attachment 1533754View attachment 1533755
Damnangalieni hii mashahara ya KQ.. na hakuna mkenya hata mmoja kweny top members wa board
View attachment 1535824
Wilson Airport view of Nairobi
View attachment 1535797

Una maringo sana. Endelea kujilinganisha na Kenya ukidhani tuko ligi moja. Dunia inajua Kenya ndio baba yao ukanda huu. Ndio maana mnatusearch kwenye google.Huu ushuzi nliouona humu c mchezo![]()
Kalambe lolo la maccm wenzio huko wewe paka shume ili upate ku survive mjiniIla huyu zwazwa hana haki ya kupinga
msalimie kenyatta mwambie TZ imekupa ajiraKalambe lolo la maccm wenzio huko wewe paka shume ili upate ku survive mjini


inajua kwa slums, police killings, poverty , unemployment rate, tribalism and hunger hope am clear๐๐๐Una maringo sana. Endelea kujilinganisha na Kenya ukidhani tuko ligi moja. Dunia inajua Kenya ndio baba yao ukanda huu. Ndio maana mnatusearch kwenye google.
so hoja kwako ni CCM au kuna kingine ๐๐Kalambe lolo la maccm wenzio huko wewe paka shume ili upate ku survive mjini
Mombasa ina SGR inayofanya kazi. Dar slum haina Sgr inayofanya kaziKurasini interchange ilikuepo kabla Mombasa wafikire kujenga...Mombasa haijawah kutangulia Dar kwa lolote
so ukiwa mji wa serekali manake viwanda havitakiwi kuwepo au?? au beijing kule hakuna viwanda sijui wapi hua unakwama wewe ๐๐๐๐Huu mji sasa utahama ku serve purpose ya kuwa mji mkuu wa nchi na kuanza tena kuwa mji wa kiuchumi maana viwanda vinajengwa,ma warehouse,dry ports nk sasa yatajirudia yaleyale ya Dar ,but kwa sie wafanyabiashara wanatufungulia fursa zaidi za kuuza hasa huku mikoa ya mipakani
Nilitarajia ungekuwa mji wa kiserikali,conference tourism,education and tech na mambo ya service industry zaidi lakini naona kutakua hakuna tofauti sasa na miji mingine mikubwa ya nchi,labda huu utakua tu well planned and organised huko kwingine ni bid slums ikiongozwa na Dar
kwani mulijenga kwa siku moja ??๐๐ yani muna wasiwasi sanaMombasa ina SGR inayofanya kazi. Dar slum haina Sgr inayofanya kazi
Huna akili kabisa wewe.Huu mji sasa utahama ku serve purpose ya kuwa mji mkuu wa nchi na kuanza tena kuwa mji wa kiuchumi maana viwanda vinajengwa,ma warehouse,dry ports nk sasa yatajirudia yaleyale ya Dar ,but kwa sie wafanyabiashara wanatufungulia fursa zaidi za kuuza hasa huku mikoa ya mipakani
Nilitarajia ungekuwa mji wa kiserikali,conference tourism,education and tech na mambo ya service industry zaidi lakini naona kutakua hakuna tofauti sasa na miji mingine mikubwa ya nchi,labda huu utakua tu well planned and organised huko kwingine ni bid slums ikiongozwa na Dar
Tafadhali tuombe radhi, Kenya hakuna SGR, kuna "Chinese old and diesel train"Mombasa ina SGR inayofanya kazi. Dar slum haina Sgr inayofanya kazi
Sgr ni upana wa reli na sio train. Wewe ni mshamba sana. Kuna Sgr ya diesel na kuna Sgr electric lakini zote ni sgr. Kama hujui Sgr ina maana gani sema uelezewe.Tafadhali tuombe radhi, Kenya hakuna SGR, kuna "Chinese old and diesel train"
Mchoraji wa hili jengo ni Mkenya.