Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mr wanjala bwana, hebu define basi ( Village Mentality)

Je ni kuhusu Hawkers?

Hata kwenu wapo

View attachment 1531956
View attachment 1531957
View attachment 1531958
View attachment 1531959

Kujazana kwenye Bus? Noma sana kuja jiji la First word nilikua sihangaiki kushikilia popote nimebanwa mpaka nafika na support ya walionikandamiza .



View attachment 1531971
View attachment 1531972


But you are someone from here?

View attachment 1531985
View attachment 1531986
View attachment 1531987
View attachment 1531989
View attachment 1531990
Mkuu hili ni jibu la mwaka, nilitaka nimjibu lkn kwa jibu hili kwakweli mm sitoshi
 
Maamuzi ya kishezi wanayofanya jirani juu ya COVID 19 sababu
d51c2db8-2bb4-4ac2-8f2e-539ec195ab55.jpg
 
Guys. Nimerudi sasa humu.
Tangu tuanze kupambana na hawa jamaa. Naona sasa wamelegea.

Nimekaa huko kwa muda. Nimeyaona mengi na kuyajua. Tumewapita mbali sana. Wakenya wanashida mno.
Mkuu karibu sn umalize mchezo washakubali hawa, ss wakenya mmekwisha mwenyenyumba huyoo karudi
 
Back
Top Bottom